-
Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?
Aug 30, 2025 02:31Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.
-
TICAD inaimarisha vipi nafasi ya Afrika katika siasa na uchumi wa dunia?
Aug 25, 2025 02:31Mkutano wa 9 wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika, Tokyo International Conference on African Development (TICAD), ulimalizika Ijumaa, Agosti 22 kwa kusainiwa mikataba takriban 300 ya ushirikiano kati ya taasisi za Japan na Afrika kuhusu masuala mbalimbali ya afya, teknolojia, elimu, kilimo, maendeleo ya miundombinu na ujenzi wa miundomsingi.
-
Jumanne, tarehe 29 Julai, 2025
Jul 29, 2025 02:56Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka na tarehe 29 Julai 2025.
-
Jumanne, tarehe 20 Mei, 2025
May 20, 2025 03:49leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1446 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2025.
-
Jumanne, Aprili Mosi, 2025
Apr 02, 2025 07:27Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1446 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2025.
-
Jumapili, 08 Disemba, 2024
Dec 08, 2024 02:33Leo ni Jumapili, 6 Mfunguo Tisa Jamad al-Thani 1446 Hijria sawa na 08 Disemba, 2024 Miladia.
-
Jumapili, 27 Oktoba, 2024
Oct 27, 2024 02:21Leo ni Jumapili 23 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 27 Oktoba 2024.
-
Araqchi: Kuimarisha uhusiano na nchi zote ni sera ya serikali ya Iran
Aug 29, 2024 07:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema sera ya serikali ya 14 ya Iran ni kupanua uhusiano na nchi zote za dunia hususan nchi za Asia Mashariki.
-
Japan yasema itaitambua Palestina kwa 'njia kamilifu'
Aug 15, 2024 02:45Serikali ya Japan imesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, inatathmini suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
Jumamosi, 10 Agosti, 2024
Aug 10, 2024 02:29Leo ni Jumamosi 5 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na 10 Agosti 2024.