Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija

    Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija

    Aug 19, 2019 03:44

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mwenendo wa mazungumzo ya Iran na madola ya Ulaya kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, mazungumzo kuhusiana na uwajibikaji wa Ulaya katika JCPOA hadi sasa hayajawa na natija.

  • Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Aug 15, 2019 05:44

    Umoja wa Ulaya na Troika ya umoja huo yaani, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, kama wanachama wa kundi la 4+1 wamekuwa wakidai kuwa wanaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA. Pamoja na hayo, hivi sasa Ulaya inakabiliwa na changamoto kubwa katika kulinda mapatano ya JCPOA. Ni kwa msingi huo ndio wakuu wa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya wakasisitiza kuhusu kulinda JCPOA.

  • Rais Rouhani: Kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi hakuhitajii vikosi vya kigeni

    Rais Rouhani: Kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi hakuhitajii vikosi vya kigeni

    Aug 14, 2019 08:21

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ili kudhamini usalama na utulivu katika Ghuba ya Uajemi hakuna haja ya kuweko vikosi vya kieneo katika eneo hilo.

  • Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 13, 2019 02:43

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Eshaq Jahangiri amesema Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la kistratijia la Hormuz na kutumia ukosefu wa usalama kama kisingizo cha kujiimarisha kijeshi katika eneo.

  • Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Aug 08, 2019 22:15

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesisitiza kuwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa na taathira hasi kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Aug 02, 2019 03:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili katu halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya serikali ya Marekani.

  • Zarif: Kwa hali ilivyo hivi sasa, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA

    Zarif: Kwa hali ilivyo hivi sasa, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA

    Jul 31, 2019 08:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria kuhalifu ahadi kunakofanywa na nchi za Ulaya katika kutekeleza majukumu yao kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwamba: Kwa hali ilivyo hivi sasa, na kama Ulaya haitachukua hatua za lazima zinazotakikana, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu kuhusiana na makubaliano hayo.

  • Russia: Iran imekusudia kupunguza tena utekelezaji wa majukumu yake katika JCPOA

    Russia: Iran imekusudia kupunguza tena utekelezaji wa majukumu yake katika JCPOA

    Jul 29, 2019 03:14

    Mjumbe mwandamizi wa timu ya Russia katika kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kilichofanyika mjini Vienna amesema, Iran ina mpango wa kuanza awamu mpya ya kupunguza utekelezaji wa ahadi na majukumu yake katika makubaliano hayo.

  • Mousavi: Iran inasubiri hatua za kivitendo za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Mousavi: Iran inasubiri hatua za kivitendo za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 29, 2019 09:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inasubiri kuona hatua za kivitendo za nchi za Ulaya katika kulinda makubaliano ya nyuklia maarufu kwa kifupi kwa jina la JCPOA.

  • Kikao cha kamisheni ya pamoja ya JCPOA chaanza kufanyika Vienna, Austria

    Kikao cha kamisheni ya pamoja ya JCPOA chaanza kufanyika Vienna, Austria

    Jul 28, 2019 07:53

    Kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia JCPOA cha Manaibu Mawaziri na Wakurugenzi wa Kisiasa wa Iran na kundi la 4+1 pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya kimeanza leo huko Vienna mji mkuu wa Austria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS