• Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Nov 24, 2018 08:18

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.

  • Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Nov 23, 2018 23:14

    Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu juhudi za Marekani za kutaka kuanzisha mazungumzo mapya na Iran kwa kusema kuwa, mapatano yaliyofikiwa ya JCPOA ni makubaliano mazuri na kwamba Iran haitofanya tena mazungumzo na Marekani kuhusu miradi yake ya nyuklia.

  • Jumamosi, 24 Novemba, 2018

    Jumamosi, 24 Novemba, 2018

    Nov 23, 2018 23:12

    Leo ni Jumamosi tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 24 Novemba 2018 Miladia.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani

    Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani

    Nov 19, 2018 12:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litabakia kuwa huru na lenye mamlaka yake na katu halitasalimu amri mbele ya Marekani.

  • Jitihada za nchi za Umoja wa Ulaya katika kulinda JCPOA

    Jitihada za nchi za Umoja wa Ulaya katika kulinda JCPOA

    Nov 19, 2018 09:32

    Katika mwendelezo wa jitihada za nchi za Ulaya za kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, (JCPOA) Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Jeremy Hunt leo amefika mjini Tehran na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa Iran.

  • John Kerry: JCPOA ni mapatano bora kabisa katika uso wa dunia

    John Kerry: JCPOA ni mapatano bora kabisa katika uso wa dunia

    Nov 17, 2018 13:00

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani ametetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kwa jina la JCPOA na kusema kuwa makubaliano hayo ni mapatano imara zaidi, makini zaidi, ya wazi zaidi na yaliyozingatia pande zote zaidi kabla ya kufikiwa kwake.

  • IAEA yathibitisha kwa mara ya 13: Iran inatekeleza kikamilifu JCPOA

    IAEA yathibitisha kwa mara ya 13: Iran inatekeleza kikamilifu JCPOA

    Nov 13, 2018 00:29

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki umetoa ripoti yake mpya ya msimu na kuthibitisha kwa mara ya 13 kuwa Iran ingali inatekeleza ahadi na majukumu yake yote katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran

    Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran

    Nov 03, 2018 23:05

    Kufuatia kutangazwa duru mpya ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinatazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe 5 mwezi huu huku vikijumuisha sekta ya mafuta, benki na safari za meli; nchi za Ulaya zimetoa taarifa zikisisitiza kupiga hatua kubwa katika kutayarisha mfumo huo maalumu wa kifedha kati yake na Iran.

  • Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Nov 02, 2018 02:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za Marekani zimehatarisha uthabiti katika uga wa kimataifa na hivyo ametoa wito kwa nchi za Ulaya kushirikiana na Iran katika kukabiliana na maamuzi ya upande moja ya watawala wa Washington.