Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Ijumaa, Novemba 24, 2017

    Ijumaa, Novemba 24, 2017

    Nov 23, 2017 23:08

    Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na Novemba 24, 2017 Milaadia

  • Ripoti mpya ya IAEA yathibitisha kufungamana Iran na makubaliano ya JCPOA

    Ripoti mpya ya IAEA yathibitisha kufungamana Iran na makubaliano ya JCPOA

    Nov 23, 2017 10:55

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena umethibitisha katika ripoti yake mpya ya msimu kuwa Iran imetekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya JCPOA.

  • EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran

    EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Nov 21, 2017 10:48

    Afisa mwandamizi wa taasisi moja ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna uwezekano wala mpango wowote wa kuyadili upya makubaliano ya nyuklia ya Iran.

  • Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Nov 19, 2017 13:34

    Mwenendo wa Marekani wa kukiuka makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran JCPOA kwa kifupi umeingia katika awamu mpya baada ya matamshi yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Iran: Ripoti mpya ya IAEA inakinzana na madai hewa ya Marekani kuhusu JCPOA

    Iran: Ripoti mpya ya IAEA inakinzana na madai hewa ya Marekani kuhusu JCPOA

    Nov 14, 2017 01:09

    Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema ripoti ya hivi punde ya wakala huo sanjari na kuthibitisha kuwa Tehran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna, lakini pia imekinzana na tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na Washington kuhusu mapatano hayo ya kimataifa.

  • EU yapinga takwa la Marekani la kutaka mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    EU yapinga takwa la Marekani la kutaka mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Nov 09, 2017 00:19

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesisitiza kuwa haiwezekani kufanya mazungumzo mpya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.

  • Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA

    Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA

    Nov 04, 2017 23:40

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inataka kuyasambaratisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa gharama za Iran.

  • Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu

    Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu

    Nov 03, 2017 10:51

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema Wamarekani ni wenye kuvunja ahadi na kuongeza kuwa, Marekani ni kinara wa uhaini na jinai zote duniani.

  • Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Nov 03, 2017 01:02

    Rais Vladmir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kuwa, kuangaliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA, ni jambo lisilokubalika.

  • Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo

    Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo

    Oct 25, 2017 03:56

    Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu ikiwemo Marekani zina faili chafu sana katika uwanja wa haki za binadamu na mikono yao imejaa damu za watu wa eneo la Mashariki ya Kati hususan huko Yemen, Iraq, Bahrain na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS