Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Iran katu  haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Oct 24, 2017 01:01

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitafanya mazungumo yoyote kuhusu makombora yake ya kujihami.

  • Dakta Velayati: Siasa za Uholanzi na Marekani kuhusu JCPOA zinatofautiana

    Dakta Velayati: Siasa za Uholanzi na Marekani kuhusu JCPOA zinatofautiana

    Oct 22, 2017 10:30

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema katika mazungumzo yake hapa mjini Tehran na ujumbe wa kibunge wa Uholanzi kwamba, siasa za Uholanzi na Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zinatofautiana.

  • Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA

    Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA

    Oct 21, 2017 13:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inapasa kufanya jitihada za kutekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama inavyofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Oct 19, 2017 04:16

    Afisa wa ngazi za juu wa kijeshi nchini Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake mkubwa wa makombora.

  • Antonio Guterres: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanapaswa kuheshimiwa

    Antonio Guterres: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanapaswa kuheshimiwa

    Oct 19, 2017 00:50

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa kifupi, yanapaswa kulindwa na kutekelezwa na kuongeza kuwa, makubaliano hayo ya kimataifa ni muhimu na ya lazima kwa ajili ya kulinda usalama na uthabiti wa dunia.

  • Kiongozi Muadhamu: Kama upande wa pili utayachana makubaliano ya JCPOA, Iran itayararua vipande vipande

    Kiongozi Muadhamu: Kama upande wa pili utayachana makubaliano ya JCPOA, Iran itayararua vipande vipande

    Oct 18, 2017 11:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran haitayachana makubaliano ya nyuklia ya JCPOA maadamu upande wa pili haujayachana, lakini kama upande huo utayachana, basi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itayararua vipande vipande makubaliano hayo.

  • Mogherini: JCPOA ni ushindi kwa ulimwengu na kwa wananchi wa Iran

    Mogherini: JCPOA ni ushindi kwa ulimwengu na kwa wananchi wa Iran

    Oct 17, 2017 23:55

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwa mara nyengine tena umuhimu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na ulazima wa kuyalinda na ameeleza kwamba: kwa makubaliano haya ya kimataifa, ulimwengu pamoja na wananchi wa Iran wamepata ushindi.

  • Uungaji mkono wa Umoja wa Afrika kwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Uungaji mkono wa Umoja wa Afrika kwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 17, 2017 09:28

    Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesisitiza kuwa, umoja huo unaunga mkono kikamilifu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Umoja wa Ulaya wasisitiza utekelezwaji kikamilifu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Umoja wa Ulaya wasisitiza utekelezwaji kikamilifu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Oct 17, 2017 04:36

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya Jumatatu baada ya kumalizika kikao chao mjini Luxembourg walitoa taarifa na kutuangaza kuunga mkono na kuendeleza ushirikiano kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.

  • Rais Rouhani: Marekani imetengwa kwa hatua yake ya kuvuruga mapatano ya nyuklia

    Rais Rouhani: Marekani imetengwa kwa hatua yake ya kuvuruga mapatano ya nyuklia

    Oct 17, 2017 02:40

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kubakia Marekani peke yake kufuatia hatua yake ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA ni kati ya mafanikio ya Iran

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS