-
Clinton: Trump ameifanya Marekani ionekane nchi ya kijinga kuhusu Iran
Oct 17, 2017 00:53Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton amesema hatua ya Rais Donald Trump ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 ni jambo ambalo limeifanya Marekani ionekane kuwa nchi duni na ya kijinga.
-
Umoja wa Afrika waunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 16, 2017 10:41Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesisitiza kuwa, umoja huo unaunga mkono kikamilifu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Tufani iliyomsomba Trump
Oct 16, 2017 04:58Hotuba iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani na misimamo yake ya kustaajabisha kuhusu sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimezusha tufani na kimbunga kikubwa.
-
Larijani: Marekani haiheshimu mapatano ya kimataifa
Oct 15, 2017 23:02Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amesema Rais Donald Trump wa Marekani hajali mapatano ya kimataifa na wala haheshimu Umoja wa Mataifa na amezionyesha nchi zote kuwa nchi yake haiminiki.
-
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni Fakhari ya Taifa la Iran
Oct 15, 2017 10:18Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni fakhari kubwa kwa taifa la Iran.
-
Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA
Oct 15, 2017 04:45Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.
-
Iran: Trump ni mfanyabiashara, hajui chochote kuhusu siasa na diplomasia
Oct 15, 2017 04:32Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema tabia zisizo na mantiki za Rais Donald Trump wa Marekani zinaashiria kuwa hajui siasa wala hana ufahamu kuhusu mambo ya historia.
-
Zarif: Wairani wote ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"
Oct 14, 2017 12:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu yay Iran amesema katika radiamali yake kwa matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwamba hii leo Wairani wote, wake kwa waume na vijana kwa wazee ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu".
-
Ayatullah Shahroudi: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa
Oct 14, 2017 11:59Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mashinikizo ya Marekani ya kutaka kuuwekea mipaka uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran hayakubaliki na kusisitiza kwamba uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza umuhimu wa JCPOA
Oct 14, 2017 04:39Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amejibu matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kutilia mkazo umuhimu wa kulindwa makubaliano hayo.