Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jinai za kivita

  • Maonyesho ya

    Maonyesho ya "Kisiwa cha Dhambi" yafanyika Magharibi mwa Kabul

    May 22, 2026 04:09

    Maonyesho maalumu ya yanayodhihirisha uhalifu wa nchi za kibeberu pamoja na kashfa za kingono za viongozi wa nchi za Magharibi yaliyopewa jina "Kisiwa cha Dhambi" yanafanyika magharibi mwa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Iran: UNSC Iivunje ukimya kuhusu vitisho vya Marekani na uhalifu wa kivita

    Iran: UNSC Iivunje ukimya kuhusu vitisho vya Marekani na uhalifu wa kivita

    May 21, 2026 13:05

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama livunje ukimya wake kuhusu vitisho vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na ukiukaji wa kimfumo wa sheria za kimataifa za kibinadamu uliofanyika wakati wa vita haramu vya hivi karibuni.

  • Iran imewasilisha nyaraka kuhusu jinai za kivita za Marekani na Israel

    Iran imewasilisha nyaraka kuhusu jinai za kivita za Marekani na Israel

    May 07, 2026 07:53

    Mkuu wa Shirika la Hilali Nyekundu la Iran amesema wamewasilisha nyaraka 35 zinazoonyesha wazi jinai za kivita zilizofanywa na Marekani na Israel wakati wa mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya Iran, katika taasisi mbalimbali za kimataifa.

  • Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari

    Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari

    May 04, 2026 09:49

    Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.

  • Iran: Majigambo ya Trump kuhusu uharamia ni ‘kukiri wazi’ jinai

    Iran: Majigambo ya Trump kuhusu uharamia ni ‘kukiri wazi’ jinai

    May 03, 2026 10:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye amejigamba kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani limetekeleza operesheni “kama maharamia” katika mzingiro wa baharini usio halali dhidi ya meli na bandari za Iran.

  • Iran yaitaka ICRC kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za binadamu katika vita vya siku 40

    Iran yaitaka ICRC kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za binadamu katika vita vya siku 40

    Apr 30, 2026 08:12

    Mkuu wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS), katika kikao na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kuiunga mkono Jumuiya ya Hilali Nyekundu na wananchi wa Iran katika kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za kibinadamu uliofanyika katika vita vya siku 40 vya Marekani na Israel dhidi ya nchi hii.

  • Jinai za kigaidi za majeshi ya Ulaya; Hadithi 5 zilizochaguliwa kutoka mabara 5

    Jinai za kigaidi za majeshi ya Ulaya; Hadithi 5 zilizochaguliwa kutoka mabara 5

    Feb 02, 2026 22:56

    Majeshi ya nchi za Ulaya yamefanya jinai barani Ulaya na katika mabara mengine duniani katika karne chache zilizopita.

  • Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita

    Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita

    Nov 27, 2025 23:29

    Jeshi la Israel limezindua mradi mkubwa wa akili mnemba (AI), unaojulikana kama Morpheus, ili kuzuia askari wake kuchapisha ushahidi wa uhalifu wa kivita uliofanyika huko Gaza kwenye mitandao ya kijamii.

  • Jeshi la Israel lamuua shahidi mwandishi mwingine wa habari huko Gaza

    Jeshi la Israel lamuua shahidi mwandishi mwingine wa habari huko Gaza

    Sep 01, 2025 04:10

    Mwandishi wa Televisheni ya Al-Quds Today ameuawa shahidi katika shambulizi la Israel huko Gaza na hivyo kuzidisha idadi ya waandishi wa habari waliouawa shahidi katika vita na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Human Rights Watch: Shambulio la Israel dhidi ya jela ya Evin, Iran ilikuwa jinai ya kivita

    Human Rights Watch: Shambulio la Israel dhidi ya jela ya Evin, Iran ilikuwa jinai ya kivita

    Aug 14, 2025 23:58

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti na kueleza kwamba mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel tarehe 2 Julai dhidi ya Jela ya Evin mjini Tehran yalikuwa "kinyume cha sheria" na ni "uhalifu wa wazi wa kivita."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS