-
Arab League yaunga mkono mapatano yaliyofikiwa kati ya makundi ya Sudan
Jul 08, 2019 02:41Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameunga mkono mapatano yaliyofikiwa kati ya Baraza Kuu la Kijeshi la Uongozi wa Mpito Sudan na makundi ya upinzani kwa ajili ya kuunda baraza la uongozi la kipindi cha mpito.
-
Arab League yapinga uingiliaji wa nchi ajinabi katika mgogoro wa Sudan
Jun 18, 2019 02:28Akiwa ziarani nchini Sudan Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza kuwa mgogoro wa Sudan unapasa kupatiwa ufumbuzi bila ya uingiliaji wa nchi yoyote ajinabi.
-
Ukosoaji wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusu BDS
May 21, 2019 04:42Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imeukosoa uamuzi wa serikali ya Ujerumani wa kupiga marufuku nchini humo shughuli za Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala haramu wa Israel BDS na kusema kuwa uamuzi huo si wa kisheria.
-
Qatar yawalaumu viongozi wa nchi za Kiarabu kwa siasa za kinafiki
Apr 30, 2019 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya maeneo ya raia katika mji mkuu wa Libya Tripoli na kusisitiza kuwa, unafiki wa kisiasa na undumilakuwili ni mambo ambayo yameuchosha ulimwengu wa Kiarabu na ndiyo yanayochochea vitendo vya kigaidi.
-
Hizbullah: Kuna mgongano katika misimamo ya Arab League kuhusu namna ya kukabiliana na vitisho vya Israel
Apr 02, 2019 07:55Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, kuna mgongano katika misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu jinsi ya kukabiliana na vitisho dhidi ya ardhi za Kiarabu na za Kiislamu.
-
Amiri wa Qatar aondoka ghalfa katika kikao cha nchi za Kiarabu
Mar 31, 2019 14:43Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani leo Jumapili ameondoka ghalfa katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mjini Tunis, Tunisia.
-
Msimamo wa Mashariki ya Kati wa Arab League, mzunguko huo kwa huo usio na faida
Mar 31, 2019 11:38Kikao cha 30 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kimeanza leo Jumapili nchini Tunisia katika hali ambayo kadhia ya Mashariki ya Kati ya jumuiya hiyo ndiyo maudhui kubwa zaidi huku wanachama wa Arab League wakiendelea kukariri njia zile zile zisizo na faida.
-
Hasira za Watunisia zamfanya rais wa Misri aghairi kushiriki kikao cha viongozi wa Arab League
Mar 30, 2019 15:52Malalamiko na upinzani mkubwa wa wananchi wa Tunisia dhidi ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri umemfanya kiongozi huyo aghairi kuhudhuria kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichopangwa kufanyika mji mkuu wa Tunisia, Tunis.
-
Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria
Mar 30, 2019 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika itaziongoza nchi nyingine za Kiarabu na jamii ya kimataifa katika kutoa radimali kwa hatua ya kichochezi ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel.
-
Imarati yazitaka nchi za Kiarabu ziboreshe uhusiano na utawala katili wa Israel
Mar 29, 2019 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati ameziasa nchi za Kiarabu ziimarishe uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel.