-
Imarati yazitaka nchi za Kiarabu ziboreshe uhusiano na utawala katili wa Israel
Mar 29, 2019 00:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati ameziasa nchi za Kiarabu ziimarishe uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ijumaa, 22 Machi, 2019
Mar 21, 2019 20:45Leo ni Ijumaa tarehe 15 Rajab 1440 Hijria sawa na Machi 22 mwaka 2019 Miladia.
-
Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League haina maana wala itibari
Mar 08, 2019 04:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ni ya kipuuzi, isiyo na itibari na ambayo ni chachu ya fitina na migawanyiko katika eneo.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaunga mkono ripoti ya UN kuhusu jinai za Israel
Mar 01, 2019 04:43Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, imeunga mkono ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai ambazo zinatendwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wapalestina wazitaka nchi za Kiarabu zisusie mkutano wa Poland
Feb 12, 2019 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametoa mwito kwa nchi za Kiarabu kususia mkutano wa Poland, ulioitishwa na kufadhiliwa na Marekani.
-
Arab League: Uingiliaji wa kigeni sababu kuu ya kuendelea mgogoro nchini Syria
Jan 29, 2019 03:57Mahmoud Afifi, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema katika mazungumzo yake na Geir Pedersen, mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa katika kadhia ya Syria kwamba uingiliaji wa kigeni ndiyo sababu ya kuendelea mgogoro nchini humo.
-
Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani
Jan 27, 2019 04:38Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.
-
Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League
Jan 27, 2019 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Khemaies Jhinaoui ametoa mwito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuirejeshea Syria kiti chake cha uwanachama katika jumuiya hiyo na kusisitiza kwamba "mahali pa kimaumbile" pa nchi hiyo ni katika jumuiya hiyo yenye nchi 22 wanachama.
-
Katibu Mkuu wa Arab League: Tutairejeshea Syria uanachama wake
Jan 16, 2019 23:15Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema kuwa, licha ya kwamba suala la Syria ni tata kutokana na uingiliaji wa madola ya kigeni, lakini bila ya shaka yoyote Damascus itarejeshewa uanachama wake katika jumuiya hiyo.
-
Arab League yazilaani Brazil, Australia kwa kuitambua Quds kuwa eti mji mkuu wa Israel
Dec 19, 2018 04:10Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepasisha azimio la kulaani hatua ya Brazil na Australia ya kuutambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel kuwa eti ni mji mkuu wa utawala huo pandikizi.