Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kamal Kharrazi

  • Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda

    Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda

    May 21, 2025 07:33

    Mkuu wa Baraza la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesisitiza kuwa mfumo wa kambi moja umeyoyoma na sasa kumeibuka madola yenye nguvu ya kikanda na kusema: "Suluhisho pekee la changamoto za Mashariki ya Kati ni mazungumzo ya moja kwa moja kati ya nchi za eneo hilo bila ya uingiliaji wa madola ya nje ya kanda hiyo."

  • Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran

    Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran

    Oct 19, 2024 03:04

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amekosoa uingiliaji kati wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa malengo yasiyofaa na kuunga mkono madai ya Imarati kuhusu visiwa vitatu vya Iran, na amewatahadharisha viongozi wa Imarati kwamba waache uadui wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho

    Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho

    Jul 30, 2024 11:51

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Kigeni la Iran ameyataja madai taliyotolewa na Israel ya kulihusisha tukio la Golan inayokaliwa kwa mabavu na Hizbullah kuwa ni kichekesho.

  • Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Jul 02, 2024 11:53

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran ametahadharisha kuhusu mashambulizi yanayoweza kuanzishwa na utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel dhidi ya Lebanon.

  • Kharrazi: Uhuru wa nchi na usalama wake, huletwa na nguvu za kijeshi na kiulinzi

    Kharrazi: Uhuru wa nchi na usalama wake, huletwa na nguvu za kijeshi na kiulinzi

    May 12, 2023 01:40

    Mkuu wa Baraza la Kimkakati la Uhusiano wa Kigeni la Iran amesema kuwa, nguvu za kijeshi na kiulinzi ni katika sababu kuu za nchi kuwa salama na huru na kwamba ni kwa kutumia nguvu hizo mbili, ndipo nchi huweza kuwa na ustawi na maendeleo ya kweli.

  • Kamal Kharrazi: Iwapo Iran itashambuliwa, tutapiga ndani kabisa ya utawala wa Kizayuni

    Kamal Kharrazi: Iwapo Iran itashambuliwa, tutapiga ndani kabisa ya utawala wa Kizayuni

    Jul 18, 2022 02:31

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema: Iwapo vituo nyeti vya Iran vitashambuliwa tutalenga ndani kabisa ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kharrazi: Siasa potofu za Marekani na Ulaya zitasambaratisha JCPOA

    Kharrazi: Siasa potofu za Marekani na Ulaya zitasambaratisha JCPOA

    Jul 03, 2020 12:04

    Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Kigeni nchini Iran amesema siasa zisizo sahihi za Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya Tehran hazitafua dafu, na kinyume chake, zitapelekea kusambaratika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Dakta Kharrazi: Kukombolewa Palestina ni miongoni mwa malengo makubwa ya Iran

    Dakta Kharrazi: Kukombolewa Palestina ni miongoni mwa malengo makubwa ya Iran

    Jul 22, 2019 02:32

    Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukombolewa Palestina na mji mtakatifu wa Quds ni katika malengo makkuubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kharrazi: Uadui wa Marekani kwa Iran si jambo jipya

    Kharrazi: Uadui wa Marekani kwa Iran si jambo jipya

    May 15, 2019 08:11

    Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uadui wa Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya na kwamba katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, dola hilo la kibeberu limekuwa likionesha uadui wake huo dhidi ya taifa la Iran kila inapopata fursa ndogo tu.

  • Kharrazi: Madola ya Ulaya yanapaswa kuonyesha 'irada' ya kulindwa makubaliano ya JCPOA

    Kharrazi: Madola ya Ulaya yanapaswa kuonyesha 'irada' ya kulindwa makubaliano ya JCPOA

    May 13, 2019 03:38

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Ulaya yanaweza kuonyesha nia na irada yao ya kutaka kuhifadhiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kutekeleza ahadi zake kama kutekelezwa haraka mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS