-
Gazeti la Uhispania: Mechi ya Iran na Marekani ni mpambano mkubwa wa kisiasa
Nov 28, 2022 11:33Gazeti la Marca la Uhispania limeitaja mechi ya soka ya michuano ya Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya kandanda ya Iran na Marekani kuwa ni mpambano mkubwa wa kisiasa.
-
Uchoraji tattoo wapigwa marufuku kwa wachezaji wa soka nchini China
Dec 30, 2021 11:39Viongozi wa michezo nchini China wamesema, kutokana nyota wa mchezo wa soka kuwa ni kigezo na mfano wa kuigwa kwa vizazi mbalimbali, ni marufuku kwa wachezaji hao kujichora tattoo.
-
Hamas yamkosoa rais wa FIFA kwa kuunga mkono utawala wa Israel
Oct 15, 2021 14:10Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestiina (Hamas) imesema hatua ya rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya kushiriki katika ufunguzi wa jengo moja la makumbusho mjini Jerusalem (Quds) ambalo liko katika makaburi ya Wapalestina ni sawa na kuunga mkono uhasama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanasoka weusi wa timu ya taifa ya Uingereza waandamwa na hujuma za ubaguzi wa rangi
Jul 12, 2021 08:15Shirikisho la Soka la Uingereza limetoa taarifa likieleza kuchukizwa na kauli za matusi ya kibaguzi dhidi ya wachezaji weusi wa timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo na kutangaza uungaji mkono wake kwa wachezaji hao.
-
Timu za Iran zajitoa kwenye mashindano ya soka ya mabingwa wa Asia kulalamikia uamuzi wa kisiasa wa AFC
Jan 18, 2020 13:59Timu za Esteqhlal, Perspolis, Sepahan na Shahre-Khodroo zinazoiwakilisha Iran katika mashindano ya mabingwa wa soka wa Asia katika mwaka huu wa 2020 zimeamua kujitoa kwenye mashindano hayo kulalamikia uamuzi wa kisiasa uliochukuliwa na Shirikisho la Soka la Asia (AFC) wa kuzitaka timu hizo zicheze michezo yao yote katika nchi ngeni ya tatu.
-
Russia yaigaragaza Saudia katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia
Jun 15, 2018 04:44Timu ya taifa ya soka ya Russia imeanza mashindano ya soka ya Kombe la Dunia kwa kishindo baada ya kuigaragaza Saudi Arabia mabao matano kwa nunge katika ufunguzi wa duru ya 21 ya michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu.
-
Gallup: Wamarekani weusi zaidi 220 wameuawa na polisi ya nchi hiyo mwaka uliopita
Aug 27, 2017 02:39Zaidi ya Wamarekani 220 wenye asili ya Afrika wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi ya nchi hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Iran yafuzu fainali kucheza Kombe la Dunia 2018 Russia
Jun 14, 2017 04:36Timu ya soka ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa timu ya pili kujikatia tiketi ya michuano ya kombe la dunia hapo mwakani huko nchini Russia baada ya kuigaragaza timu ya Uzbekstan mbao 2 kwa nunge.
-
Watu 17 wafariki dunia katika msongamano kwenye uwanja wa mpira nchini Angola
Feb 11, 2017 07:23Watu 17 wamefariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Angola baada ya kutokea msongamano mkubwa katika uwanja mmoja wa mpira kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Cameroon Bingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017
Feb 06, 2017 03:47Timu ya Taifa ya Soka ya Cameroon imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2017 baada ya kuilaza timu ya Taifa ya Misri kwa mabao 2-1.