-
Ijumaa tarehe 26 Machi 2021
Mar 25, 2021 22:24Leo ni Ijumaa tarehe 12 Shaabani 1442 Hijria sawa na 26 Machi 2021.
-
Naibu Rais wa Kenya, Ruto asema yuko tayari kukihama chama tawala na kujiunga na Raila au UDA
Mar 25, 2021 06:58Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema leo Alhamisi kwa mara ya kwanza kwamba yuko tayari kukihama chama tawala cha Jubilee na kujiunga na chama United Democratic Alliance (UDA) kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa 2022.
-
Kenya yazindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kupambana na corona
Mar 05, 2021 08:54Kenya hii leo imezindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, huku Patrick Amoth, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Afya akiwa Mkenya wa kwanza kuchanjwa katika ardhi ya nchi hiyo.
-
"Unga mkono serikali au jiuzulu", Uhuru amwambia Naibu Rais William Ruto
Feb 12, 2021 09:24Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Ijumaa amemtaka Naibu Rais William Ruto ajiuzulu, akisema mtu hawezi "kutukana watu" wakati pia anajivunia mafanikio ya serikali.
-
Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83
Feb 08, 2021 08:52Viongozi na wanaharakati wa Kiislamu nchini Kenya wamekosoa vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kupitia Shirika la Reli kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83 katika kaunti ya Kisumu, magharibi mwa nchi.
-
Mmishonari wa Marekani afungwa miaka 15 kwa kunajisi mayatima Kenya
Feb 05, 2021 08:15Raia wa Marekani ambaye alikuwa anafanya kazi kama mmishonari nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 15 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi mabinti mayatima.
-
Iran na Kenya zasisitiza kupanuliwa ushirikiano kati ya mashirika ya teknolojia ya nchi mbili
Jan 29, 2021 09:41Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia, Dakta Sorena Sattari amesisitiza kupanuliwa ushirikiano wa kiteknolojia kati ya mashirika ya Iran na Kenya.
-
Iran yazindua 'Jumba la Ubunifu na Teknolojia' Nairobi, Kenya
Jan 28, 2021 00:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuzinduliwa Kituo cha Ubunifu na Teknolojia cha Iran (IHIT) katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kumefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Kenya na hata nchi nyingine za kanda ya Afrika Mashariki.
-
9 wauawa katika mpaka wa Kenya na Somalia, AU yatoa kauli
Jan 26, 2021 07:28Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema amani katika mpaka wa Kenya na Somalia ni jambo muhimu kwa ajili ya uthabiti wa eneo zima la Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.
-
Iran kuanzisha kituo kikubwa zaidi cha Teknolojia nchini Kenya
Jan 23, 2021 01:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuanzisha kituo kikubwa cha ubunifu na teknolojia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ikiwa ni katika mkakati wa kuimarisha uhusiano wa nchi hizi mbili rafiki.