-
Jeshi la Kenya lashambulia maficho ya al-Shabaab na kuua kadhaa
Dec 27, 2020 20:51Kikosi Maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) jana Jumapili kilishambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika Msitu wa Boni kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya na kuangamiza wanachama kadhaa wa genge hilo.
-
Al-Shabaab yakiri kumuua chifu wa Wajir Kenya kwa kumkata kichwa
Dec 23, 2020 08:53Kundi la kigaidi la al-Shabaab lenye makao yake nchini Somalia limekiri kuwa ndilo lililomteka nyara na kumuua kwa kumkata kichwa chifu mmoja wa kaunti ya Wajir, huko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Somalia yaafiki kurejesha uhusiano na Kenya baada ya mashinikizo ya IGAD
Dec 22, 2020 21:24Somalia imeafiki kurejesha uhusiano wake na Kenya kufuatia mashinikizo ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Mashariki mwa Afrika na pembe ya Afrika IGAD.
-
AU yataka Kenya na Somalia zitumie mazungumzo kusuluhisha mzozo baina yao
Dec 21, 2020 04:53Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ametoa mwito kwa Kenya na Somalia kufuata njia ya mazungumzo kuutafutia ufumbuzi mgogoro uliopo baina ya pande mbili.
-
Viongozi wa EU wajitenga baada ya kutagusana na Macron mwenye Covid-19
Dec 18, 2020 04:18Idadi kubwa ya viongozi wa Umoja wa Ulaya wamejiweka karantini baada ya kutangamana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye pia amejitenga kwa muda wa siku saba baada ya kukutwa na virusi vya corona.
-
Hofu yatanda baada ya Somalia kutuma wanajeshi katika mpaka na Kenya
Dec 15, 2020 09:54Masaa machache baada ya Somalia kutangaza kukata uhusiano wa kidiplomasia na Kenya, Jeshi la Kitaifa la Somalia (SNA) limetuma idadi kubwa ya askari katika eneo moja la mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.
-
Somalia yawafukuza wanadiplomasia wote wa Kenya, yawataka wake warudi nyumbani
Dec 15, 2020 04:38Serikali ya Somalia imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba Serikali ya Kenya inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Jumamosi, Disemba 12, 2020
Dec 11, 2020 23:24Leo ni Jumamosi tarehe 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 12 Desemba 2020 Miladia.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia atembelea Kenya
Dec 09, 2020 08:42Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed leo ametembelea Kenya na kujiunga na Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo katika ufunguzi wa kituo kipya cha mpakani cha Moyale katika Kaunti ya Marsabit.
-
Somalia yamtimua balozi wa Kenya na kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi
Nov 30, 2020 08:06Somalia imemwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi sambamba na kumpa masaa 24 balozi wa Kenya mjini Mogadishu awe ameondoka katika ardhi ya Somalia.