Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Rais Uhuru ahutubia taifa huku akiahidi mustakbali mwema wa nchi

    Rais Uhuru ahutubia taifa huku akiahidi mustakbali mwema wa nchi

    Nov 12, 2020 10:57

    Rais Uhuru Kenya wa Kenya leo Alhamisi amehutubia taifa kwa mara ya saba bungeni jijini Nairobi akiwaambia Wakenya kwamba taifa hilo lingali lina nguvu, jasiri na lenye matarajio ya mustakbali mwema.

  • Walioathiriwa kiuchumi na corona Mombasa, Kenya kupata msaada wa kifedha

    Walioathiriwa kiuchumi na corona Mombasa, Kenya kupata msaada wa kifedha

    Oct 31, 2020 23:28

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kwa kushirikiana na serikali ya Kenya limezindua mpango wa ugawaji fedha taslimu kwa familia 24,000 mjini Mombasa, Kenya katika makazi yasiyo rasmi ambao maisha yao yamesambaratika kiuchumi kutokana na janga la COVID-19 au corona.

  • Magoha: Kesi mpya za Covid-19 hazitapelekea kufungwa shule Kenya

    Magoha: Kesi mpya za Covid-19 hazitapelekea kufungwa shule Kenya

    Oct 23, 2020 12:07

    Waziri wa Elimu wa Kenya George Magoha amekataa suala la kufungwa shule kwa sababu ya kesi mpya za Covid-19 zilizoripotiwa kati ya wanafunzi na walimu baada ya wanafunzi wa darasa la 4, darasa la 8 na Kidato cha Nne kurejea mashuleni.

  • Waziri wa Afya Kenya aonya kuhusu hatari ya kuongezeka maambukizi ya COVID-19

    Waziri wa Afya Kenya aonya kuhusu hatari ya kuongezeka maambukizi ya COVID-19

    Oct 18, 2020 23:35

    Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ameonya kuwa kuna uwezekano nchi hiyo ikakumbwa na maafa kutokana na wananchi, hasa vijana, kupuuza kanuni za kiafya za kuzuia maambukizi ya corona au COVID-19.

  • Somalia, Cuba zakanusha madai ya kuachiwa huru madaktari waliotekwa na al-Shabaab

    Somalia, Cuba zakanusha madai ya kuachiwa huru madaktari waliotekwa na al-Shabaab

    Oct 08, 2020 23:07

    Serikali za Somalia na Cuba zimekanusha madai ya kuachiwa huru madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nyara na kundi la kigaidi la al-Shabaab mwaka jana nchini Kenya.

  • Wanajeshi wa Kenya na Somalia washambuliana kwa risasi mpakani

    Wanajeshi wa Kenya na Somalia washambuliana kwa risasi mpakani

    Sep 27, 2020 04:32

    Wanajeshi wa Kenya na Somalia wamekabiliana kwa risasi katika mpaka wa pamoja wa nchi mbili hizo jirani za Afrika Mashariki.

  • Jaji Mkuu wa Kenya amtaka Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge

    Jaji Mkuu wa Kenya amtaka Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge

    Sep 21, 2020 11:07

    Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga Jumatatu ya leo amemshauri Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge kwa sababu ya kushindwa kutunga sheria kuhusu usawa wa kijinsia.

  • Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini humo

    Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini humo

    Jul 31, 2020 23:33

    Tanzania imesimamisha shirika la ndege la Kenya (KQ) kufanya safari za kwenda Tanzania kuanzia leo tarehe Mosi Agosti, siku moja baada ya Kenya kutangaza kuwa itafungua anga zake kwa usafiri wa kimataifa isipokuwa kutoka baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania.

  • Rais wa Kenya atangaza kurefusha muda wa kafyu kukabiliana na Covid-19

    Rais wa Kenya atangaza kurefusha muda wa kafyu kukabiliana na Covid-19

    Jul 27, 2020 12:23

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Jumatatu amerefusha kipindi cha kafyu nchini humo kwa siku nyingine 30 na kupiga marufuku uuzaji wa pombe migahawani ili kuzuia maambukizi ya COVID-19 nchini humo.

  • EABC yazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kufungua anga zao, kuruhusu utalii na biashara

    EABC yazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kufungua anga zao, kuruhusu utalii na biashara

    Jul 14, 2020 08:38

    Baraza la Biashara la Nchi za Afrika Mashariki (EABC), limezisihi nchi zote za kanda hiyo kufuata mfano wa Tanzania kwa kufungua anga zao ili kuruhusu safari za kimataifa kuingia na kutoka katika nchi zote za kanda hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS