Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Wasomi, wanachuo wa Kenya nchini Marekani wakosoa agizo la Trump dhidi yao

    Wasomi, wanachuo wa Kenya nchini Marekani wakosoa agizo la Trump dhidi yao

    Jul 11, 2020 10:18

    Wahadhiri na wanachuo raia wa Kenya walioko Marekani wamekosoa vikali agizo lililotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump, la kutaka wanafunzi wote wa kigeni waondoke nchini humo ndani ya miezi miwili ijayo.

  • Kenya ni nchi ya kwanza Afrika kusambaza intaneti kupitia baluni

    Kenya ni nchi ya kwanza Afrika kusambaza intaneti kupitia baluni

    Jul 08, 2020 11:35

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kutoa huduma za inteneti kupitia baloni (puto) na hivyo kuwawezesha maelfu ya watu nchini humo kupata huduma za intaneti kirahisi.

  • Rais Kenyatta alegeza hatua kwa hatua sheria za kukabiliana na corona Kenya

    Rais Kenyatta alegeza hatua kwa hatua sheria za kukabiliana na corona Kenya

    Jul 06, 2020 06:55

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelegeza kwa kiasi fulani sheria kali zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 ambapo umeua watu 150 kufikia sasa nchini humo.

  • Wananchi wa Kenya waandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo

    Wananchi wa Kenya waandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo

    Jun 09, 2020 03:36

    Wananchi wa Kenya wamefanya maandamano katika mji mkuu Nairobi, kulaani ukandamizaji na ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia.

  • Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, Nigeria

    Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, Nigeria

    Jun 02, 2020 23:26

    Miji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.

  • SAUTI, Raia wa Kenya wakasirishwa na tabia ya Shirika la Umeme la nchi hiyo (Kenya Power) kukatakata huduma hiyo

    SAUTI, Raia wa Kenya wakasirishwa na tabia ya Shirika la Umeme la nchi hiyo (Kenya Power) kukatakata huduma hiyo

    May 09, 2020 10:26

    Shirika la Kusambaza Umeme nchini Kenya (Kenya Power), limetuhumiwa kwa kufanya uzembe mkubwa katika utoaji huduma za umeme kwa raia wa nchi hiyo huku wananchi wengi wakiitaka serikali kutoa vibali kwa makampuni mengine kuanza kuusambaza umeme ili kuleta ushindani wa kibiashara.

  • Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia

    Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia

    May 09, 2020 08:05

    Askari wa jeshi la Ethiopia wamekiri kuwa walitungua kimakosa ndege ndogo ya Kenya iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana na janga la corona katika mji wa Bardale, kusini mwa eneo la Bay nchini Somalia.

  • Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia

    Mafuriko yaua watu 260 Kenya, Rwanda na Somalia

    May 08, 2020 03:48

    Kwa akali watu 260 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Rwanda na Somalia.

  • Sauti, Wamiliki wa magari ya kusafirishia mizigo nchini Kenya watishia kuyaweka kando kwa kudai kuwa wananyanyaswa na serikali

    Sauti, Wamiliki wa magari ya kusafirishia mizigo nchini Kenya watishia kuyaweka kando kwa kudai kuwa wananyanyaswa na serikali

    May 07, 2020 12:03

    Wamiliki na wahudumu katika sekta ya magari ya kusafirishia mizigo (malori) kwa masafa marefu wametishia kuyasusa barabarani magari hayo hadi pale serikali za Kenya na Uganda zitakapolegeza masharti ziliyoyaweka.

  • Hatimaye serikali ya Kenya yapambana na corona kwa kufunga kikamilifu maeneo ya Nairobi na Mombasa + Sauti

    Hatimaye serikali ya Kenya yapambana na corona kwa kufunga kikamilifu maeneo ya Nairobi na Mombasa + Sauti

    May 06, 2020 11:37

    Hatimaye serikali ya Kenya imeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuifungia kikamilifu baadhi ya mitaa ya Nairobi na Mombasa kwa muda wa siku 15 kutokana na ukaidi wa baadhi ya watu wasioheshimu maagizo ya maafisa wa afya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS