-
Rais Kenyatta awasihi Wakenya wachukulie kwa uzito janga la corona
Apr 22, 2020 02:44Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hatua ya Wakenya kutoupa uzito unaotakiwa ugonjwa wa COVID-19 au corona ndio changamoto kubwa zaidi ya serikali yake katika kukabiliana na ugonjwa huo hatari.
-
Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yasababisha maafa Kenya
Apr 21, 2020 03:37Kwa akali watu 12 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Kenya.
-
Corona yamburuzisha mahakamani Naibu Gavana Kenya, mbunge Tanzania ataka waziri wa SMZ achukuliwe hatua
Apr 07, 2020 10:29Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema ni yeye aliyeamuru Naibu Gavana wa Kaunti ya Kilifi Gideon Saburi akamatwe kwa kile alichosema, uzembe aliofanya wa kukwepa karantini baada ya kurudi safarini kutoka nchini Ujerumani, hali ambayo iliweka hatarini maisha ya Wakenya dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19).
-
Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona
Apr 06, 2020 11:54Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua mpya zinazolenga kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambao hadi sasa umewapata watu 158 na kuchukua roho za wagonjwa sita.
-
Kenya, Somalia zawaachilia huru wafungwa ili kuzuia kuenea corona
Apr 03, 2020 02:22Kenya na Somalia zimetangaza kuwaachilia huru wafungwa wa makosa madogo madogo ikiwa ni katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19.
-
Kenya yazindua mpango wa kupima corona kwa watu wengi
Mar 30, 2020 03:49Wizara ya afya ya Kenya imeanza kufanya upimaji wa ugonjwa wa COVID-19 au corona kwa watu wote walioingia nchini humo wiki iliyopita na wale waliowekwa karantini kwenye vituo vya serikali au hoteli zilizoteuliwa.
-
Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda
Mar 27, 2020 11:03Janga la ugonjwa wa COVID19 na virusi vya corona linaloisumbua dunia limeendelea kulinyemea kwa kasi kubwa bara la Afrika baada ya Rwanda kuripoti maambukizi mapya 9 ya virusi hivyo.
-
Kesi za corona Afrika Kusini zapindukia 1,000, vifo vya kwanza vyaripotiwa nchini humo na Kenya
Mar 27, 2020 03:43Idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona nchini Afrika Kusini imeongezeka na kupindukia watu 1000.
-
Kenya ni taifa lenye furaha zaidi Afrika Mashariki
Mar 22, 2020 08:49Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu furaha duniani imeitaja Kenya kuwa nchi yenye furaha zaidi katika eneo la mashariki ya Afrika.
-
Kadhi Mkuu wa Kenya awakosoa wanaopuuza agizo la kutoenda misikitini
Mar 21, 2020 22:08Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Ahmed Muhdhar amekosoa vikali hatua ya baadhi ya waumini wa Kiislamu ya kupuuza agizo la kuwataka wasiende misikitini kwa ajili ya Swala za jamaa katika kipindi hiki cha kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na kirusi cha Corona.