-
HRW: Hali ya haki za binadamu Kenya imeendelea kutia wasiwasi
Feb 06, 2026 02:51Ripoti mpya ya shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) inaonyesha kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Kenya ilidorora mwaka uliopita, huku serikali ikikosolewa vikali kwa kukandamiza waandamanaji, wanaharakati, wanahabari na wakosoaji wa serikali.
-
Uchaguzi wa urais Kenya ukifanyika leo Ruto atashinda, lakini utaingia katika duru ya pili
Dec 28, 2025 23:50Utafiti uliofanywa na kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa, endapo uchaguzi wa urais wa Kenya ungefanyika hivi leo, Rais William Ruto angeibuka mshindi; hata hivyo uchaguzi huo ungelazimu kuingia katika duru ya pili kwa sababu ushindi wake usingevuka kiwango cha asilimia 50+1 ya kura kinachohitajika.
-
Ijumaa, Disemba 12, 2025
Dec 11, 2025 23:07Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Tisa Jumadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2025.
-
Wakenya watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kuwaanika mafisadi
Dec 10, 2025 06:47Mkuu wa Utumishi wa Umma nchini Kenya, Bw Felix Koskei, ametoa wito kwa Wakenya kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya ufisadi ambao kwa miaka mingi umeathiri utoaji wa huduma za serikali.
-
Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?
Dec 09, 2025 09:12Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.
-
Kikosi kipya cha polisi wa Kenya chawasili Haiti kukabiliana na magenge ya uhalifu
Dec 09, 2025 07:59Hiki ni kikosi cha tano cha polisi wa Kenya kufika huko Haiti kisiwa kilichokumbwa na ghasia tangu kuanza kuhudumu kwa misheni ya polisi inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa. Kenya ina polisi zaidi ya 700 nchini humo.
-
Wabunge Kenya wawatuhutumu wanajeshi wa Uingereza kwa unyanyasaji wa kingono na uharibifu wa mazingira
Dec 04, 2025 00:19Ripoti ya uchunguzi ya bunge la Kenya imewatuhumu wanajeshi wa Uingereza walioko nchini humo kwa unyanyasaji wa mara kwa mara wa kingono, mazoezi yasiyo salama na ukiukaji wa mazingira. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mienenendo hiyo imewafanya wanajeshi hao ajinabi kujiona kama "kikosi vamizi".
-
Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu
Nov 17, 2025 00:16Polisi ya Tanzania imetangaza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.
-
UN yamchagua Profesa Phoebe Okowa wa Kenya kuwa Jaji wa Mahakama ya ICJ
Nov 14, 2025 04:12Katika kura ya kihistoria iliyopigwa Umoja wa Mataifa siku ya Alkhamisi, profesa wa sheria wa Kenya Phoebe Okowa alichaguliwa kuwa jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akiibuka mshindi kwenye ulingo wa ushindani wa wagombea wa Kiafrika baada ya mfululizo wa raundi za kupiga kura zilizokuwa na mvutano katika Baraza Kuu na Baraza la Usalama.
-
Kenya yataka majibu kwa Tanzania kuhusu raia wake waliokumbwa na misukosuko ya baada ya uchaguzi
Nov 07, 2025 08:21Kenya imeitaka Tanzania itoe majibu kuhusu hali ya raia wake waliojipata kwenye mzozo wa baada ya uchaguzi, huku ikishinikiza serikali ya nchi hiyo ihakikishe usalama wao na kuchukua hatua dhidi ya ukiukaji wa haki zao.