-
Wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi ya 40 vya Kenya washiriki katika mashindano ya Iranolojia
Jan 16, 2025 02:38Katika jitihada za kupanua uhusiano wa kiutamaduni, kisayansi na kielimu kati ya Iran na Kenya, mashindano ya "Iranolojia" yamefanyika nchini Kenya kwa ushirikiano na vyuo vikuu zaidi ya 40.
-
Alkhamisi, Disemba 12, 2024
Dec 12, 2024 02:50Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Mfunguo Tisa Jumadithanil 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2024.
-
Kenya yapata Naibu Rais mpya; Profesa Kithure Kindiki
Nov 01, 2024 09:58Hatimaye Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa Naibu Rais mpya wa Kenya, kuja kurithi mikoba ya Rigathi Gachagua ambaye alibanduliwa mamlakani na Bunge la nchi hiyo mwezi uliopita wa Oktoba.
-
Vyombo vya habari Kenya: Siasa za usaliti na ‘njama za mauaji’ zimerejea kwa kishindo
Oct 23, 2024 08:01Baadhi ya vyombo vya habari vya Kenya vimeripoi kuwa, siasa za madai ya usaliti na njama za watu kuuawa zimeanza kujitokeza tena nchini humo baada ya naibu rais aliyetimuliwa mamlakani kudai alijaribiwa kulishwa sumu mara mbili.
-
Rais William Ruto ameiomba Mahakama ya Milimani kutupilia mbali kesi za Gachagua
Oct 22, 2024 15:25Rais William Ruto wa Kenya ameiomba Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi kadhaa za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua kama Naibu Rais, akisema kuwa masuala yaliyoibuliwa katika kesi hizo yametengewa Mahakama ya Juu pekee.
-
Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa adai kulikuwa na njama ya kutaka kumuuwa
Oct 21, 2024 02:49Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa, Rigathi Gachagua amedai kujiri majaribio mawili yaliyofeli ya kutaka kumuua mwezi Agosti na Septemba mwaka huu.
-
Mahakama Kuu Kenya yasimamisha uamuzi wa Bunge wa kumuidhinisha Kindiki kuwa Naibu Rais
Oct 18, 2024 13:53Mahakama Kuu nchini Kenya leo imetoa amri ya muda ya kusimamisha kubadilishwa kwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.
-
Wizara ya Mazingira Kenya kuwafurusha waishio pembezoni mwa mito
Oct 17, 2024 02:54Waziri wa mazingira na maliasili wa Kenya, Aden Duale amesema kuwa serikali itaendeleza mpango wake wa kuwahamisha watu wanaoishi kando kando ya mito nchini humo.
-
Bunge la Kenya lamtimua Naibu Rais, Rigathi Gachagua
Oct 09, 2024 03:43Bunge la Kitaifa la Kenya limepasisha kwa wingi wa kura hoja ya kumng’oa madarakani Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.
-
Wachimba dhahabu Kenya wapoteza maisha baada ya mgodi kuporomoka
Sep 17, 2024 03:04Watu wasiopungua tisa wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati mgodi usio rasmi wa dhahabu ulipoporomoka na kuwaangukia wachimba dhahabu hao huko kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia.