Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Uhuru Kenyatta atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi wa rais Kenya uliosusiwa na mpinzani wake

    Uhuru Kenyatta atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi wa rais Kenya uliosusiwa na mpinzani wake

    Oct 30, 2017 12:52

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC Wafula Chebukati amemtangaza Uhuru Kenyatta, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Jubilee Rais mteule na mgombea wake mwenza William Ruto kuwa Naibu Rais mteule baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa marudio wa rais uliofanyika siku ya Alkhamisi.

  • Ruto: Uchaguzi mwingine Kenya utafanyika 2022, wala sio ndani ya siku 90

    Ruto: Uchaguzi mwingine Kenya utafanyika 2022, wala sio ndani ya siku 90

    Oct 30, 2017 04:34

    Naibu wa Rais wa Kenya amesema uchaguzi mwingine wa rais utafanyika mwaka 2022 kwa mujibu ya miongozo ya Katiba na Sheria za Uchaguzi na wala sio ndani ya siku 90 kama anavyoshinikiza kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga.

  • Wakenya wanasubiri matokeo rasmi ya uchaguzi, Kenyatta atazamiwa kushinda

    Wakenya wanasubiri matokeo rasmi ya uchaguzi, Kenyatta atazamiwa kushinda

    Oct 28, 2017 13:44

    Wakenya wangali wanasuburi matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais wa marudio uliofanyika Alhamisi huku Uhuru Kenyatta akiwa bado anaongoza na akitazamiwa kutangazwa mshindi baada ya kinara wa upinzani Raila Odinga kususia uchaguzi huo.

  • Uhuru Kenyatta aongoza kwa 96%, Odinga ataka uchaguzi mpya ndani ya siku 90

    Uhuru Kenyatta aongoza kwa 96%, Odinga ataka uchaguzi mpya ndani ya siku 90

    Oct 28, 2017 06:14

    Rais Uhuru Kenyatta anaongoza kwa asilimia 96 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika Alkhamisi iliyopita nchini Kenya.

  • Uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya uliogubikwa na wingu la ususiaji wa wapinzani

    Uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya uliogubikwa na wingu la ususiaji wa wapinzani

    Oct 27, 2017 11:39

    Uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya ulifanyika hapo jana huku ukiwa umesusiwa na wapinzani wa serikali sambamba na kushuhudiwa mivutano ya kisiasa na hali ya wasiwasi nchini humo.

  • Uchaguzi wa marudio wa urais Kenya katika kaunti nne waakhirishwa hadi kesho

    Uchaguzi wa marudio wa urais Kenya katika kaunti nne waakhirishwa hadi kesho

    Oct 27, 2017 04:32

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imetangaza kuwa zoezi la upigaji kura lilikwamishwa jana katika baadhi ya maeneo kutokana na changamoto za kiusalama na kwamba zoezi hilo litafanyika kesho Oktoba 28.

  • Uhuru aongoza katika matokeo ya uchaguzi wa marudio yaliyotolewa hadi sasa

    Uhuru aongoza katika matokeo ya uchaguzi wa marudio yaliyotolewa hadi sasa

    Oct 27, 2017 01:21

    Uhuru Kenyatta anaongoza katika matokeo ya uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika jana nchini Kenya huku matokeo yakiendelea kutolewa kutoka vituo mbalimbali vya uchaguzi.

  • SAUTI: Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki uchaguzi wa marudio, huku wakiwataka wenzao (Kenya) kudumisha amani

    SAUTI: Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki uchaguzi wa marudio, huku wakiwataka wenzao (Kenya) kudumisha amani

    Oct 26, 2017 13:06

    Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumchagua rais wao katika uchaguzi wa rais wa marudio.

  • Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Watu kadhaa wauawa na makumi wajeruhiwa katika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya

    Oct 26, 2017 12:54

    Watu wasiopungua wanne wameuawa katika mkoa wa Nyanza na mji wa Machakos nchini Kenya katika ghasia za uchaguzi wa marudio wa rais uliofanyika leo nchini humo.

  • Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Oct 26, 2017 04:41

    Wananchi wa Kenya waliotimiza masharti ya kupiga kura wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa marudio wa urais, ambao umesusiwa na viongozi na wafuasi wa upinzani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS