-
Vitisho vya mzayuni vyaifanya serikali ya Al-Jolani ifute maadhimisho ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Nov 14, 2025 07:38Duru za habari zimeripoti kuwa kongamano la Operesheni ya Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel ya Kimbunga cha Al-Aqsa, lililokuwa limepangwa kufanyika katika mji wa Aleppo nchini Syria limefutwa baada ya mwandishi mmoja wa habari wa Kizayuni kutoa vitisho kwa kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Al-Jolani na serikali yake.
-
Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa
Oct 07, 2025 10:35Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya Qur'ani Tukufu ambapo katika Surat Muhammad, aya ya 7 tunasoma: "Mkimnusuru Mwenyezi Mungu basi na Yeye atakunusuruni."
-
Jumanne, 07 Oktoba 2025
Oct 07, 2025 02:33Leo ni Jumanne 14 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 7 Oktoba 2025 Miladia.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri kuwa askari wake wawili wameangamizwa Ghaza
May 09, 2025 07:20Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Israel yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa
Feb 28, 2025 07:31Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwa, katika mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 lilishindwa kuwahami walowezi wa utawala huo wanaoishi katika maeneo jirani na Gaza; na kwamba lilifeli katika masaa ya awali mkabala wa mashambulizi ya Hamas.
-
Iran yakanusha madai ya kuhusika na operesheni ya Wapalestina ya Kimbunga cha Al Aqsa
Oct 13, 2024 07:10Ujumbe wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na taarifa kuhusu Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyotekelezwa mwaka jana na wapigania ukombozi wa Palestina dhidi ya utawala wa Israel.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Marekani ni mshirika na muungaji mkono wa jinai zote za Israel
Oct 07, 2024 07:16Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi ni waitifaki, washirika na wafadhili wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na zinashiriki katika mauaji na maafa dhidi ya taifa la Palestina.
-
Mwanaharakati Nigeria: Kimbunga cha al-Aqsa kilianika udhaifu wa Israel
Oct 07, 2024 06:17Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu nchini Nigeria amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ya Oktoba 7, 2023 iliyofanywa na wanamapambano wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ilifichua namna utawala haramu wa Israel ulivyo dhaifu sanjari na kuugutusha ulimwengu juu ya kadhia ya Palestina.
-
Hizbullah; imara zaidi kuliko wakati wowote
Oct 07, 2024 02:41Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu ambacho kitazungumzia jinsi Hizbullah ya Lebanon ilivyokuwa imara na madhubuti hii leo kuliko wakati mwingine wowote.
-
Wazayuni milioni moja wakimbilia Ulaya na Marekani kufuatia "Kimbunga cha al Aqsa"
Aug 18, 2024 07:14Wazayuni milioni moja wamekimbia makazi yao katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuelekea Marekani na katika nchi mbalimbali za Ulaya kufuatia oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa.