-
Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa
Jul 17, 2024 11:03Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshikamano unaoonekana hivi sasa na kupungua mivutano katika safu za Waislamu ni katika mafanikio makubwa ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Wimbi la kimataifa la kuwaunga mkono watu wa Gaza
Apr 08, 2024 07:44Kufanyika Mkutano wa Kimataifa wa Kimbunga cha Al-Aqsa huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia kwa kuhudhuriwa na makumi ya asasi zisizo za kiserikali, wasomi, wanafikra, mwakilishi maalum wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi kadhaa za Asia, kunaoneysha wimbi kubwa la uungaji mkono wa kimataifa kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Meja Jenerali Bagheri: Jibu la Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mauaji ya watu wasio na hatia
Mar 30, 2024 02:28Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema kuwa, jibu la utawala wa Kizayuni wa Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni kuwaua tu watu wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, kuharibu hospitali na kusababisha njaa.
-
Safari ya pili ya Haniyeh mjini Tehran baada ya operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
Mar 27, 2024 06:27Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, aliwasili Jumanne ya jana mjini Tehran ikiwa ni safari yake ya pili baada ya operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Hujjatul-Islam Ali Akbari: Maadui wasubiri operesheni zijazo za Kimbunga cha al-Aqsa
Mar 22, 2024 11:46Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema maadui wa Palestina wanapasa kusubiri operesheni ya pili, ya tatu na hata ya nne ya Kimbunga cha al-Aqsa kutoka kwa makundi ya muqawama.
-
Simulizi ya Hamas kuhusu Kimbunga cha Al Aqsa
Feb 14, 2024 17:33Hamjambo na karibuni katika Kipindi chetu wiki hii ambacho kitaangazia simulizi za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu kwa nini Oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ilitekelezwa.
-
Matokeo ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni dhihirisho la kusimama kidete Muqawama na kutengwa Israel
Jan 15, 2024 04:31Baada ya kupita siku 100 tangu Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ilipoanza, athari za kusimama kidete harakati za mapambano ya ukombozi au muqawama na kuzidi kutengwa utawala wa Kizayuni wa Israel zinazidi kudhihirika katika maoni ya umma duniani.
-
Baada ya kushambuliwa kanisa, Papa Francis asema: Mashambulizi ya Israel huko Ghaza ni ugaidi
Dec 18, 2023 07:10Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesema kuwa, mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ghaza ni ugaidi.
-
Video: Hivi ndivyo Ghaza ilivyogeuka kuwa makaburi ya Wazayuni
Dec 14, 2023 07:16Brigedi za al Qassam Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda mpya wa video inayoonesha namna Ghaza ilivyogeuka kuwa makaburi ya wanajeshi na zana za kijeshi za Wazayuni wavamizi.
-
Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?
Dec 12, 2023 10:09Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi.