-
Iran: Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imeisambaratisha Israel
Dec 09, 2023 15:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imeusambaratisha vibaya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas: Madai yasiyo na msingi ya Biden ni kielelezo cha kuporomoka kwake kimaadili
Dec 06, 2023 08:12Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, madai yasiyo na msingi ya Rais wa Marekani kuhusu operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa yanaonyesha kuporomoka kwake kimaadili.
-
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Asia Magharibi na kadhia ya Palestina.
Dec 02, 2023 04:20Akizungumza siku ya Jumatano tarehe 29 Novemba katika kikao na askari wa kujitolea mashuhuri kama Basij kutoka pembe zote za nchi, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amegusia nukta kadhaa muhimu kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na kadhia ya Palestina.
-
Wazayuni wakiri Kimbunga cha Al-Aqsa kimeangamiza askari na walowezi wao wengi
Nov 28, 2023 14:16Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa zaidi ya askari wake 1,000 wa walowezi wa utawala huo waliuawa wakati wa mapigano ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Kamanda Fadavi: Nguvu za wananchi wa Palestina zimeifanya dunia kuemewa
Nov 25, 2023 07:02Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, nguvu zilizooneshwa na wananchi wa Palestina katika vita vya hivi sasa vya Ghaza zimeishangaza dunia na kuifanya iemewe, na ijiulize, nguvu hizi wamezitoa wapi wananchi hawa wa Palestina.
-
Meja Jenerali Salami: Matunda yote ya Magharibi yamesombwa na Kimbunga cha Al-Aqsa
Nov 21, 2023 13:13Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema matunda yote ya Marekani, nchi za Magharibi, na Wazayuni yameyoyoma na kusombwa na operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Matokeo ya kiuchumi ya vita vya Gaza kwa utawala wa Kizayuni
Nov 19, 2023 11:24Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ya tarehe 7 Oktoba ambayo imeupelekea utawala haramu wa Israel kupata kipigo kikubwa kihistoria imeupelekea pia utawala huo kuendelea kushindwa katika nyanja nyingine hasa ikitiliwa maanani kwamba ungali unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu
Nov 09, 2023 11:27Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.
-
Malengo ya utawala wa Kizayuni ya kuainisha muda wa kuondoka raia huko Gaza
Nov 08, 2023 10:29Daniel Hagari, msemaji wa jeshi la utawala wa Israel alitangaza Novemba 6 kuanza usitishwaji vita wa siku mbili kwa ajili ya kutoa fursa kwa wakazi wa kaskazini mwa Ghaza kuondoka katika eneo hilo.
-
Spika wa Bunge la Iran: Oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa imebadilisha mlingano wa kimataifa
Nov 04, 2023 14:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilibadilisha m mpangilio mlingano wa mfumo wa kimataifa.