-
Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu
Jan 08, 2020 04:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran limejiandaa na kujizatiti barabara mkabala wa madola ya kibeberu duniani.
-
Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema
Dec 25, 2019 04:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (AS).
-
Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan
Nov 30, 2019 01:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.
-
Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia
Oct 19, 2019 09:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, ni kwa maslahi ya taifa la Iran na dunia yote kwa ujumla.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu
Aug 11, 2019 06:22Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji: Muamala wa Karne utasambaratika kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.
Aug 10, 2019 07:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama za maadui huku akikisitiza kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina utafeli kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautofikia malengo yake
Jun 05, 2019 03:50Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza kwamba mpango unaoitwa 'Muamala wa Karne' hautofikia malengo yake, amepongeza nchi za Kiarabu na kadhalika makundi ya Palestina yaliyopinga mpango huo.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani
May 14, 2019 23:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuimarishwa nafasi ya IRGC katika nyuga za ulinzi na ustawi wa utamaduni
Apr 22, 2019 08:20Ayatullah Khamenei, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran siku ya Jumapili katika dikrii alimteua Hussein Salami kuwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani
Apr 16, 2019 01:58"Kutekeleza mafundisho ya Qur'ani kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera."