-
Kiongozi Muadhamu autangaza Mwaka 1398 Shamsiya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji"
Mar 21, 2019 00:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijiria Shamsia, ametuma salamu za pongezi za Nowuruz (Nairuzi) na pia salamu kwa munasaba wa Wilada ya Imam Ali AS kwa wananchi wa Iran na hasa familia za mashahidi na majeruhi wa vita na amelitakia taifa la Iran mwaka wenye furaha, saada, afya ya kimwili na mafanikio ya kimaada na kimaanawi na ameutaja mwaka mpya kuwa mwaka wa "kustawi uzalishaji".
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Armenia
Feb 28, 2019 11:20Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia ni majirani wema na wenye uhusiano wa kihistoria.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari
Feb 19, 2019 03:57Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: 22 Bahman ni dhihirisho la taifa la Iran katika kumshinda adui
Feb 09, 2019 04:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Maadhimisho ya Mwaka wa Arubaini wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mwaka huu yatakuwa na umuhimu mkubwa kutokana na sera za Marekani za kueneza shari na kuibua migogoro. Ameongeza kuwa: "22 Bahman (11 Februari) mwaka huu, kwa uwezo wake Mwneyezi Mungu, itakuwa siku ya kihistoria na kwa maana halisi itamsambaratisha adui."
-
Nukta za ushindi wa taifa la Palestina kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Jan 01, 2019 04:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi si cha mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi kamili.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja, mshikamano na kauli moja; njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake
Nov 26, 2018 14:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake ni kudumisha umoja, mshikamano na kuwa na kauli moja.
-
Nguvu, uhuru wa kiutamaduni na irada imara; nukta tatu zenye kuleta fahari za wanamichezo wa Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 15, 2018 06:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi alihutubu katika hadhara ya msafara wa wanamichezo wa Iran waliotwaa medali na washindi wa michezo ya Para Asia 2018 iliyofanyika nchini Indonesia.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kuwa na uhusiano wa kielimu na nchi zenye kasi ya maendeleo
Oct 17, 2018 11:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kuweko uhusiano wa kielimu baina ya Iran na nchi zilizoko kwenye mkondo wa ustawi na maendeleo makubwa.
-
Kiongozi wa Mapinduzi atoa mwito wa kuboreshwa hati ya maendeleo inayofuata kigezo cha Uislamu na Iran
Oct 14, 2018 12:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa mwito wa kuboreshwa na kukamilishwa hati ya malengo ya maendeleo inayofuata misingi ya Uislamu na Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Hakuna mkwamo wala tatizo lolote nchini lisiloweza kutatuliwa
Oct 11, 2018 12:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa hakuna mkwamo wala tatizo lolote nchini lisiloweza kutatuka.