-
Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Sep 03, 2018 06:20"Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran, ni sehemu muhimu ya majeshi kwani iko katika mstari wa mbele wa kukabiliana na maadui wa Iran."
-
Kiongozi: Jeshi la Iran lijiimarishe hata kama hakuna uwezekano wa vita
Sep 02, 2018 08:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema uwezekano wa kuanzishwa vita vya kijeshi dhidi ya Iran ni mdogo sana kwa kuzingaita hali ya hivi sasa ya kisiasa, lakini pamoja na hayo Majeshi ya Iran yanapaswa kuendelea kujiimarisha kwa mtazamo wa nguvu kazi na zana za kivita.
-
Mtazamo wa Kiongozi; Mustakabali wa Mafanikio wa Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 09, 2018 03:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu hivi karibuni alitembelewa na ujumbe wa wanaharakati wa kiutamaduni walioko nje ya nchi. Akizungumzia wasiwasi uliobainishwa na ujumbe huo kuhusu mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei alisema:"Hawathubutu kufanya upuuzi wowote ule; waambieni hili watu wote."
-
Ayatullah Khamenei: "Siasa za Kishetani' za Marekani kuhusiana na Palestina katu hazitafanikiwa
Jul 16, 2018 10:00Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, siasa za kishetani za Marekani kuhusiana na Palestina kamwe hazitafanikiwa.
-
Utambulisho halisi wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 21, 2018 02:40Kingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, Jumatano asubuhi alikutana na Spika wa Majlisi ya Kiislamu, Bunge la Iran, wabunge na wafanyakazi wa bunge ambapo alibainisha utambulisho na malengo halisi ya Marekani katika eneo.
-
Kiongozi Muadhamu: Sharti Wapalestina wenyewe waamue hatima ya Palestina
Jun 11, 2018 03:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hatima ya Palestina inapaswa kuamuliwa na Wapalestina wenyewe, wakiwemo Waislamu, Wakristo na Mayahudi ambao wana asili na waliishi katika ardhi ya jadi ya Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Ndoto ya maadui kuhusu JCPOA kamwe haitoaguliwa
Jun 04, 2018 12:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ndoto waliyo nayo maadui kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA kamwe haitotimia. Amesema hayo leo katika kumbukumbu za mwaka wa 29 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na huku akigusia mazungumzo ya nchi za Ulaya na Iran kuhusu mapatano ya hayo ya nyuklia amesema, taifa na serikali ya Iran haiwezi kukubaliana na vikwazo vya nyuklia na kwamba njozi ya maadui kuhusu JCPOA haitaaguliwa kwamwe.
-
Kiongozi Muadhamu: Ikiwa Ulaya itazembea, lran ina haki ya kuanzisha shughuli zake za nyuklia
May 24, 2018 00:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria uadui wa msingi, wa kina na endelevu wa Marekani dhidi ya mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kusisitiza kwamba bila shaka Iran itaishinda tu Marekani iwapo viongozi wa Iran watatekeleza vilivyo majukumu yao.
-
Orodha mpya ya Makamanda Wapalestina ambao Israel inataka kuwaua; dalili ya uhai wa Israel kutegemea ugaidi
May 21, 2018 22:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza orodha mpya ya makamanda wa Brigedi za Izzedin Qassam Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ambao inalenga kuwaua kigaidi.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha
May 18, 2018 13:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.