Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Kiongozi Muadhamu: Kama upande wa pili utayachana makubaliano ya JCPOA, Iran itayararua vipande vipande

    Kiongozi Muadhamu: Kama upande wa pili utayachana makubaliano ya JCPOA, Iran itayararua vipande vipande

    Oct 18, 2017 11:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran haitayachana makubaliano ya nyuklia ya JCPOA maadamu upande wa pili haujayachana, lakini kama upande huo utayachana, basi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itayararua vipande vipande makubaliano hayo.

  • Kiongozi Muadhamu: Utawala wa Kizayuni unataka kuunda Israel mpya katika eneo hili

    Kiongozi Muadhamu: Utawala wa Kizayuni unataka kuunda Israel mpya katika eneo hili

    Oct 04, 2017 14:39

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo usiku ameonana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran na kusisitiza kwamba kuna ulazima wa kuongezwa kiwango cha ushirikiano wa nchi mbili kama ambavyo pia ni jambo muhimu sana kuweko maelewano na ushirikiano baina ya Iran na Uturuki katika masuala muhimu ya ulimwengu wa Kiislamu.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Hija ni fursa bora ya kuzima harakati za kipropaganda za maadui

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Hija ni fursa bora ya kuzima harakati za kipropaganda za maadui

    Oct 03, 2017 12:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuna kambi kubwa ya kimataifa ya propaganda dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kwamba: fursa ya Hija ni minbari bora kabisa ya tablighi kwa ajili ya kujenga mawasiliano na walimwengu na kuzima propaganda za upande wa pili.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Maadui wanafanya njama za kuzuia jihadi ya taifa la Iran

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Maadui wanafanya njama za kuzuia jihadi ya taifa la Iran

    Oct 03, 2017 12:31

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia jitihada kubwa zinazofanywa na maadui kwa ajili ya kuliondoa taifa la Iran hususan vijana katika njia ya jihadi na kufa shahidi, kulifanya limsahau Imam Khomeini na kupotea njia ya wazi ya Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa: Kuvutiwa kwa nyoyo za vijana wengi kwenye masuala ya kimapinduzi katika mazingira kama haya ni jambo la kustaajabisha.

  • Kiongozi Muadhamu: Mwenyezi Mungu amemfanya shahidi Hojaji kuwa kipenzi cha watu

    Kiongozi Muadhamu: Mwenyezi Mungu amemfanya shahidi Hojaji kuwa kipenzi cha watu

    Sep 27, 2017 10:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ikhlasi, nia safi na kufanya harakati kwa wakati na kuhitajia jamii kuuawa shahidi kama huku ni mambo ambayo yamepelekea Mwenyezi Mungu amfanye shahidi Mohsen Hojaji kuwa kipenzi cha watu wote.

  • Kiongozi Muadhamu ashiriki katika kuuaga mwili wa shahid Hojaji

    Kiongozi Muadhamu ashiriki katika kuuaga mwili wa shahid Hojaji

    Sep 27, 2017 06:30

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alfajiri ya leo Jumatano amekwenda katika Msikiti wa Imam Husain AS hapa Tehran na kuusomea Faatiha mwili mtoharifu wa shahid Mohsen Hojaji, aliyeuliwa shahidi na magaidi wa Daesh wakati akilinda Haram ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Bibi Zaynab al Kubra AS nchini Syria.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Wamarekani wanapaswa kuona aibu kwa kuwa na Rais kama Trump

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Wamarekani wanapaswa kuona aibu kwa kuwa na Rais kama Trump

    Sep 21, 2017 11:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amekosoa vikali matamshi ya kipumbavu, kijinga na yaliyojaa urongo yaliyotolewa na Rais wa Marekani katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kusema kuwa: Matamshi hayo hayakutokana na nguvu bali yametokana na ghadhabu, kuchanganyikiwa na akili finyu.

  • Kiongozi Muadhamu: Ufumbuzi wa suala la Myanmar ni nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo

    Kiongozi Muadhamu: Ufumbuzi wa suala la Myanmar ni nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo

    Sep 12, 2017 03:26

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar na kusisitiza kwamba: Njia ya utatuzi wa kadhia hii ni kuchukuliwa hatua za kivitendo na nchi za Kiislamu na kuishinikiza kisiasa na kiuchumi serikali isiyo na huruma ya Myanmar.

  • Jumatatu 4 Septemba, 2017

    Jumatatu 4 Septemba, 2017

    Sep 03, 2017 23:49

    Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Pili Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 4 Septemba 2017

  • Kiongozi Muadhamu: Kulindwa moyo wa kimapinduzi na kidini katika udiplomasia ni jambo la dharura

    Kiongozi Muadhamu: Kulindwa moyo wa kimapinduzi na kidini katika udiplomasia ni jambo la dharura

    Aug 26, 2017 11:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumamosi ameonana na Rais Rouhani na baraza lake la mawaziri na kusema kuwa, kulindwa msimamo na muelekeo wa kimapinduzi na kidini katika siasa za kigeni za Iran ni jambo muhimu sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS