-
Kiongozi Muadhamu: Nchi zinazojitegmea zishirikiane zaidi
Mar 15, 2016 13:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kushirikiana zaidi nchi zinazojitegemea duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Vita vya Mashariki ya Kati ni vya kisiasa tu
Mar 10, 2016 13:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.
-
Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran
Feb 28, 2016 23:05Maziko ya mtengeneza filamu mashuhuri wa Iran, Farajullah Salahshur yalifanyika jana Jumapili kwa kushiriki idadi kubwa ya wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini.
-
Kiongozi Muadhamu ataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uswisi
Feb 27, 2016 13:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa historia ya Uswisi ya kutojiunga na mashinikizo na vikwazo vya baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Iran ni miongoni mwa nyanja nzuri za kiutamaduni kwa ajili ya kuzidisha ushirikiano wa pande hizo mbili.
-
Kiongozi Muadhamu awataka Wairani wote kushiki kwenye zoezi la uchaguzi ujao
Feb 24, 2016 12:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza udharura wa wananchi wote wa Iran kushiriki katika uchaguzi wa Bunge la Baraza la Watalamu kwa shabaha ya kuzima na kubatilisha njama za maadui.
-
Kiongozi Muadhamu aonana na matabaka mbalimbali ya wananchi wa mkoa wa Azerbaijan Mashariki
Feb 17, 2016 11:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi na kwa mwamko wananchi wa Iran katika chaguzi mbili zijazo za Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na ule wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu la kumchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu kutabatilisha njama za maadui.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Ugiriki
Feb 09, 2016 09:42Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa siasa za kindumakuwili za Marekani na kubainisha kwamba, ugaidi ni maradhi ya kuambukiza na hatari mno na kutanabihisha kwamba, inawezekana kuyadhibiti maradhi hayo ikiwa watu wote watachukua hatua za dhati za kukabiliana nayo.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na maafisa wa Jeshi la Anga
Feb 09, 2016 04:08Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, siku ya Jumatatu alikutana na makamanda na maafisa wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Februari 11 Bahman na uchaguzi ujao wa Februari 26 ni Idi mbili zenye maana kwa taifa la Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Baraza Kuu la Usalama wa Taifa linapaswa kutawaliwa na mantiki na fikra sahihi
Feb 03, 2016 10:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa anga inayotawala sekretarieti ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa na maamuzi yake inapaswa kwenda sambamba na fikra sahihi, halisi za kimapinduzi na za kihizbullah.