-
Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.
Jul 20, 2019 02:26Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.
-
Wajumbe wa Kongresi ya Marekani wamuonya Trump juu ya chokochoko zozote dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 07:54Wawakilishi wanne wa Bunge la Kongresi nchini Marekani wamemuonya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran kufuatia kutunguliwa na jeshi la Iran ndege yake ya ujasusi Alkhamisi ya jana, baada ya rais huyo kutoa radiamali kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Kwa mara nyingine Trump aiomba Kongresi imruhusu kujenga ukuta mpakani
Dec 04, 2018 07:34Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo itatumia mabilioni ya dola kwa ajili ya kujenga ukuta katika mipaka ya nchi hiyo na Mexico iwapo Wademocrat katika kongresi ya nchi hiyo wataafiki bajeti ya ujenzi huo.
-
Huenda Kongresi ya Marekani ikalazimika kufuta marufuku ya miaka 181 ya Hijabu
Nov 20, 2018 08:07Mwakilishi wa Minnesota katika Kongresi ya Marekani, Ilhan Omar amesema ataanzisha jitihada za kuhakikisha kuwa sheria ya kupigwa marufuku uvaaji wa mitandio kichwani ikiwemo Hijabu inayovaliwa na wanawake Waislamu katika Bunge la Wawakilishi wa Marekani, inaangaliwa upya.
-
Vikwazo vya kongresi ya Marekani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 13, 2018 11:55Katika kuendelea jitihada za Marekani za kukabiliana na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon; kongresi ya nchi hiyo imepasisha mswada wa kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo.
-
Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamtaka Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina
Sep 21, 2018 07:46Wabunge 40 wa Kongresi ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina.
-
Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani
Aug 24, 2018 02:43Tokea wakati Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani hadi sasa, amekumbwa na changamoto nyingi ndani ya nchi. Moja ya changamoto hizo ni tuhuma kuwa Russia ilihusika katika kuingilia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 kwa maslahi ya Trump.
-
Mgombea Useneta California John Fitzgerald: Kadhia ya Holocaust ni ya kubuni tu
Jul 07, 2018 14:22John Fitzgerald, mmoja wa wagombe wa kiti cha jimbo la California katika Baraza la Wawakilishi la Seneti nchini Marekani sambamba na kukanusha kadhia ya Holocaust, amesema kuwa utawala wa Kizayuni ndio ulioratibu shambulizi la Septemba 11 2001 nchini humo.
-
Korea Kusini: Tafadhali Marekani msituharibie mazungumzo na Korea Kaskazini
Jan 17, 2018 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini ameitaka Marekani kutochafua nga ya mazungumzo yake na Korea Kaskazini na hivyo kuzuia kufanyika kwa namna bora michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi nchini humo.
-
Mauaji ya kiholela yamekuwa janga kubwa Marekani, taasisi 50 za kidini zaitaka Congress iingilie kati
Nov 14, 2017 03:03Taasisi 50 za kidini zimewaandikia barua wakuu wa Baraza la Congress la nchi hiyo wakiwataka wachukue hatua za haraka za kuzuia mauaji ya kiholela yanayofanyika kwa kutumia silaha moto nchini humo.