-
New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA
Sep 09, 2017 16:30Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.
-
Marekani yaunga mkono waziwazi ISIS; Mbunge wa Congress asema: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran ni kwa manufaa ya Marekani
Jun 10, 2017 15:58Mbunge wa jimbo la California katika Baraza la Congress la Marekani ametoa matamshi ya kijuba na kuunga mkono waziwazi mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge la wakufurishaji la Daesh mjini Tehran, Iran, Jumatano asubuhi.
-
Mbunge Marekani: Hujuma za kigaidi Tehran ni stratejia ya Trump
Jun 10, 2017 03:35Mbunge katika chama tawala cha Republican nchini Marekani amesema hujuma za hivi karibuni za kundi la kigaidi la ISIS mjini Tehran inaweza kuwa stratijia ya Rais Donald Trump.
-
Radiamali ya Congresi ya Marekani kwa mchezo mpya wa Trump
Mar 06, 2017 07:44Wabunge wa chama cha Democrat katika Congresi ya Marekani wamekosoa ombi la rais wa nchi hiyo aliyeitaka Congresi hiyo kuchunguza madai yake kwamba mazungumzo yaliyokuwa yakifanywa na timu yake ya kampeni ya uchaguzi wa rais yalisikilizwa kwa siri.
-
Ufidhuli wa Israel na Marekani dhidi ya Umoja wa Mataifa
Jan 08, 2017 03:10Utawala ghasibu wa Israel umepunguza mchango wake wa kifedha kwa Umoja wa Mataifa kwa kiwango cha dola milioni sita baada ya Baraza la Usalama la umoja huo kupasisha azimio linalopinga ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala huo katika ardhi za Palestina.
-
Bunge la Iran lajadili vikwazo vipya vya Marekani
Dec 04, 2016 03:15Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, leo Jumapili linajadili njia za kutoa jibu kali kwa hatua ya Baraza la Seneti la Marekani ya kupitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).
-
Hatua mpya ya Bunge la Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2016 08:02Wawakilishi wa Bunge la Marekani ambalo linadhibitiwa na Warepublican juzi walipasisha mpango ambao unazuia kuiuzia Iran ndege zaidi ya 100 za abiria aina ya Boeing.
-
Tunisia yakadhibisha madai ya kuwepo kambi ya kijeshi ya Marekani nchini humo
Nov 13, 2016 08:10Waziri Mkuu wa Tunisia, Youssef Chahed amekadhibisha habari za kuwepo kambi ya kijeshi ya Marekani na ghala la silaha la Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini humo.
-
China yatiwa wasiwasi na maneva ya pamoja ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani
Oct 19, 2016 04:03Wizara ya Ulinzi ya China imetoa ripoti ikielezea wasi wasi wake mkubwa juu ya maneva ya kijeshi yanayoendelea kufanywa baina ya Marekani na Korea Kusini katika eneo.
-
McKinney: Israel inahusika na mashambulizi ya kigaidi Ulaya
Jul 25, 2016 17:06Mbunge wa zamani katika Kongresi ya Marekani amefichua nafasi ya utawala wa kizayuni wa Israel katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika barani Ulaya.