-
Korea Kaskazini: Hatua ya Uingereza kutuma meli za kijeshi eneo la Korea ni sawa na kututangazia vita
Apr 16, 2018 12:51Serikali ya Korea Kaskazini imeonyesha kukasirishwa na hatua ya Uingereza ya kutuma meli zake za kivita katika Rasi ya Korea na kuitaja hatua hiyo kuwa ni sawa na kutangaza vita.
-
Guterres: Kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia kunakumbusha kipindi cha Vita Baridi
Mar 29, 2018 22:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusiana na hatua ya baadhi ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa Russia na kusema hali hiyo inakumbusha kipindi cha Vita Baridi.
-
Viongozi wa Korea mbili kukutana mwishoni mwa mwezi ujao
Mar 29, 2018 10:23Korea Kaskazini na Korea Kusini zimetangaza kuwa viongozi wa nchi mbili hizo jirani watakutana na kufanya mazungumzo tarehe 27 mwezi Aprili mwaka huu.
-
Kukutana kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Xi Jinping wa China
Mar 29, 2018 05:03Kwa mara ya kwanza tangu ingie madarakani Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing ambapo pande mbili zimezungumzia masuala ya uhusiano wa nchi mbili na kadhalika mabadiliko ya eneo la Korea.
-
Kukutana kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Xi Jinping wa China
Mar 29, 2018 02:32Kwa mara ya kwanza tangu ingie madarakani Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing ambapo pande mbili zimezungumzia masuala ya uhusiano wa nchi mbili na kadhalika mabadiliko ya eneo la Korea.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini afanya safari ya kinyemela China?
Mar 27, 2018 02:59Duru za habari zimefichua kuwa, yumkini kiongozi wa Korea Kaskazini amefanya safari ya kificho nchini China.
-
Korea Kaskazini yaafiki kufanyika mazungumzo ya ngazi ya juu na Korea Kusini
Mar 24, 2018 10:05Wizara ya Umoja ya Korea Kusini, imetangaza kuwa serikali ya Korea Kaskazini imekubali kufanyika mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya nchi mbili siku chache zijazo.
-
Pande tatu za Marekani, Japan na K/Kusini zafanya mazungumzo kuhusu K/Kaskazini
Mar 20, 2018 00:49Washauri wa ngazi ya juu wa kiusalama wa nchi tatu za Marekani, Korea Kusini na Japan, wameanza kikao cha siku mbili ambacho kitajikita katika kuchunguza namna ya kuliepusha eneo la Korea na silaha za nyuklia.
-
Korea Kusini: Kim Jong-Un anahitaji muda zaidi kukubali mwaliko wa kukutana na Trump
Mar 19, 2018 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini anahitaji muda zaidi ili kukubali mwaliko wa kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Mbunge wa UK: EU imefanya duru 14 za mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini
Mar 15, 2018 03:16Mbunge wa chama cha Wahafidhina cha Uingereza katika bunge la Umoja wa Ulaya amesema mazungumzo ya siri yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na ujumbe wa wabunge wa bunge la EU na maafisa wa Korea Kaskazini ndiyo yaliyoifanya nchi hiyo ishawishike kuachana na shughuli zake za nyuklia.