Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini

    Russia: Marekani haiwezi kuthubutu kuishambulia Korea Kaskazini

    Sep 25, 2017 00:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani haithubutu kufanya shambulizi lolote dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuwa inafahamu fika kwamba Pyongyang ina mabomu ya nyuklia.

  • Tillerson: Chaguo la kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini liko mezani

    Tillerson: Chaguo la kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini liko mezani

    Sep 22, 2017 23:05

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, chaguo la kijeshi la Washington dhidi ya Korea ya Kaskazini bado liko mezani.

  • Kim Jong-un: Trump ana matatizo ya kiakili, nitamfanya ajutie matamshi yake ya vitisho

    Kim Jong-un: Trump ana matatizo ya kiakili, nitamfanya ajutie matamshi yake ya vitisho

    Sep 22, 2017 01:15

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amejibu matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema kuwa, rais huyo wa Marekani ana matatizo ya kiakili na kwamba atalipa gharama ya matamshi yake ya vitisho dhidi ya Pyongyang.

  • Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini

    Sep 18, 2017 09:46

    Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.

  • Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi

    Gallup: Wamarekani wengi wanataka Korea Kaskazini ishambuliwe kijeshi

    Sep 15, 2017 22:06

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Gallup yanaonyesha kuwa, nusu ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono suala la kushambulia kijeshi Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia

    Korea Kaskazini yafyatua kombora jengine saa chache baada ya kutishia "kuizamisha" Japan

    Sep 15, 2017 03:29

    Vyombo vya habari vya Japan na Korea Kusini vimetangaza kuwa Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine lililopaa juu ya kisiwa cha Japan cha Hokkaido alfajiri ya kuamkia leo saa chache baada ya kutishia kwamba itaizamisha ardhi ya Japan.

  • Baraza la Usalama UN lapasisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini

    Baraza la Usalama UN lapasisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini

    Sep 11, 2017 23:21

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio lake la sita la bomu la nyuklia wiki iliyopita.

  • Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran

    Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran

    Sep 11, 2017 06:56

    Afisa mmoja wa serikali ya Uingereza amedia kuwa Iran imeisaidia Korea Kaskazini kuimarisha uwezo wake wa silaha za nyuklia.

  • Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia

    Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia

    Sep 11, 2017 03:50

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itaendeleza njama zake ili kuongeza vikwazo dhidi yake katika Umoja wa Mataifa, basi Pyongyang itaizidishia Washington machungu na taabu.

  • Merkel: JCPOA itumiwe kama mfano wa kutatua mgogoro wa Korea Kaskazini

    Merkel: JCPOA itumiwe kama mfano wa kutatua mgogoro wa Korea Kaskazini

    Sep 10, 2017 03:07

    Kansela wa Ujerumani amesema yuko tayari kujihusisha na jitihada za kuupatia ufumbuzi mgogoro katika Peninsula ya Korea kwa njia ya kidiplomasia na kutoa mwito wa kutumiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran kama kigezo cha kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS