Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    Sep 09, 2017 12:00

    Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.

  • Jumamosi, Septemba 9, 2017

    Jumamosi, Septemba 9, 2017

    Sep 08, 2017 22:04

    Leo ni Jumamosi tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhaji 1438 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 9 Septemba 2017 Miladia.

  • Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Sep 08, 2017 01:57

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa hivi sasa uliojitokeza baada ya majaribio ya makombora na bomu la nyuklia ya Korea Kaskazini kunaweza kuleta maafa makubwa kwa dunia nzima.

  • Korea Kaskazini yasherehekea majaribio ya bomu la nyuklia

    Korea Kaskazini yasherehekea majaribio ya bomu la nyuklia

    Sep 07, 2017 03:26

    Sherehe kubwa zimefanyika nchini Korea Kaskazini kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa zaidi ya bomu la nyuklia kuwahi kufanyika nchini humo.

  • Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote

    Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote

    Sep 05, 2017 09:45

    Rais wa Russia Vladimir Putin ametahadharisha kuhusu kuibuka mgogoro mkubwa wa kimataifa iwapo kadhia ya Peninsula ya Korea haitasuluhishwa kwa njia ya kidiplomasia.

  • Kiongozi wa CIA amuonya Trump kutokana na matamshi yake makali dhidi ya Korea Kaskazini

    Kiongozi wa CIA amuonya Trump kutokana na matamshi yake makali dhidi ya Korea Kaskazini

    Sep 04, 2017 11:39

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA, Michael Hayden amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na kutoa matamshi makali dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Shirika la Mkataba wa Kupiga Marufuku Majaribio ya Nyuklia limelaani jaribio la bomu la Korea ya Kaskazini

    Shirika la Mkataba wa Kupiga Marufuku Majaribio ya Nyuklia limelaani jaribio la bomu la Korea ya Kaskazini

    Sep 03, 2017 23:51

    Katibu Mkuu wa shirika hilo amelaani jaribio la karibuni lililofanywa na Korea ya Kaskazini.

  • UN yataka Korea Kaskazini isitishe majaribio ya nyuklia

    UN yataka Korea Kaskazini isitishe majaribio ya nyuklia

    Sep 03, 2017 23:43

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali jaribio la nyuklia lililofanywa Jumapili na Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yafanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia la Hydrogen

    Korea Kaskazini yafanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia la Hydrogen

    Sep 03, 2017 03:09

    Korea Kaskazini imefanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia, hili likiwa ni jaribio la sita la aina hii kufanywa na Pyongyang.

  • Putin: Kuishinikiza Korea ya Kaskazini hakutakuwa na taathira

    Putin: Kuishinikiza Korea ya Kaskazini hakutakuwa na taathira

    Sep 01, 2017 03:36

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameishauri Marekani na waitifaki wake barani Asia kutochukua hatua za kuishinikiza Korea ya Kaskazini na ametoa wito wa mazungumzo ili kuhitimisha mvutano kuhusu miradi ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS