-
Onyo la China juu ya uwezekano wa Marekani kuishambulia Korea Kaskazini
Aug 13, 2017 23:03Gazeti moja muhimu la chama tawala nchini China limeionya Marekani na Korea Kusini juu ya vitisho vyao vya kutaka kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini na kusema kuwa, ikiwa maslahi ya China yataingia hatarini kwa vita hivyo tarajiwa, basi bila shaka yoyote nayo itakabiliana na nchi hizo.
-
Mamilioni ya wapiganaji wa kujitolea Korea Kaskazini wajiweka tayari kupambana na Marekani
Aug 12, 2017 23:18Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimeripoti kwamba karibu watu milioni 3.5 wa kujitolea wametangaza utayarifu wao kwa ajili ya kupambana na Marekani vitani.
-
Indhari ya Ujerumani na Russia kuhusu hatari ya kutokea vita kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Aug 12, 2017 09:02Kuongezeka mivutano na kutoleana kauli za vitisho viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kumeitia wasiwasi mkubwa jamii ya kimataifa juu ya uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Mashariki mwa Asia.
-
"Trump amewasaliti Wamarekani kwa kutafuta vita na Iran, Korea Kaskazini"
Aug 03, 2017 03:13Mbunge wa zamani wa Kongresi ya Marekani amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekiuka ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za urais kwamba akiingia madarakani hataitumbukzia tena nchi hiyo katika vita.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani isitumie njia ya kijeshi na vikwazo dhidi yake
Jul 31, 2017 03:03Serikali ya Korea Kaskazini imeionya Marekani isitumie njia za vikwazo zaidi wala za kijeshi dhidi ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia
Jul 27, 2017 00:13Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itafanya kosa kuishambulia kwa nyuklia, basi itapata jibu kama hilo.
-
Korea Kaskazini: Kutokuwa na umuhimu Marekani kuwapiga marufuku raia wake kuja kwetu
Jul 25, 2017 23:06Shirika la ustawi wa kieneo la Wonsan Zone Development Corporation la Korea Kaskazini limetangaza kuwa, marufuku iliyotangazwa na Marekani ya kuwazuia raia wake kufanya safari nchini humo, haitakuwa na taathira yoyote kwenye sekta ya utalii.
-
Korea Kaskazini: Wabunge wa Korea Kusini waliotunyooshea kidole, watajuta
Jul 22, 2017 22:19Serikali ya Korea Kaskazini imewatahadharisha wabunge wa Korea Kusini kutokana na hatua yao ya kutoa taarifa ya kulaani majaribio ya hivi karibuni ya kombora yaliyofanywa na Pyongyang, na kusema kuwa, wabunge hao watajutia hatua hiyo.
-
Korea Kaskazini: Matumaini ya Korea Kusini ya kuboreka mahusiano yetu kwa mashinikizo ni upuuzi
Jul 20, 2017 23:08Siku moja baada ya Korea Kusini kutoa pendekezo kwa ajili ya kufikiwa makubaliano na Korea Kaskazini, serikali ya Pyongyang imesema kuwa, matumaini ya Seoul juu ya kuboreka mahusiano ya pande mbili kupitia mashinikizo ni suala la 'kipuuzi.'
-
Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati
Jul 18, 2017 21:57Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.