-
Wakorea Kusini: Tutaendeleza maandamano hadi US iondoe ngao yake nchini kwetu
Jul 14, 2017 14:26Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa makubaliano kati ya Korea Kusini na Marekani kwa ajili ya kuwekwa ngao ya makombora ya Marekani aina ya THAAD nchini humo, raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali wakipinga mpango huo.
-
Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea
Jul 11, 2017 08:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Japan, Norio Maruyama amesema kuwa, Tokyo na washirika wake wataishawishi Russia ili iweze kushiriki katika kutatuliwa mgogoro wa eneo la Korea.
-
Korea Kusini sasa yaomba mazungumzo na Korea Kaskazini
Jul 08, 2017 07:25Huku mgogoro wa Peninsula ya Korea ukiendelea kutokota kufuatia vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba atatumia nguvu za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini, Korea Kusini sasa imetaka mazungumzo yafanyike kutatua mgogoro uliopo.
-
China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini
Jul 06, 2017 04:22China na Russia zimetangaza kupinga utumiaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini
-
Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini
Jul 04, 2017 08:15Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Uchina kuchukua uamuzi mgumu kuhusiana na hatua ya Pyongyang ya kuvurumisha kombora jipya la balestiki mapema leo.
-
Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe
Jul 03, 2017 04:22Serikali ya Korea Kasakazini imetoa pendekezo la kuvunjwa kituo kikuu cha kijeshi kwa ajili ya askari wa mataifa tofauti iliyo chini ya Umoja wa Mataifa huko Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini ivunjwe.
-
Pyongyang: Vitisho vya Marekani haviwezi kutuzuia kujiimarisha kwa nyuklia
Jun 29, 2017 14:19Balozi wa Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa ameiambia Marekani na washirika wake kwamba, Pyongyang itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na haitojali vikwazo, mashinikizo na vitisho vya Washington na washirika wake vya kuishambulia kijeshi nchi hiyo.
-
Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani
Jun 27, 2017 15:08Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler, kiongozi wa zamani wa Kinazi nchini Ujerumani.
-
Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia
Jun 26, 2017 08:00Waziri Mkuu wa Korea Kusini ameitaka serikali ya Korea Kaskazini kuwaalichilia huru raia wa nchi hiyo na wale wa Marekani ambao wanashikiliwa na serikali ya Pyongyang.
-
Pyongyang: Maafisa Usalama wa Marekani wamewadhalilisha wanadiplomasia wetu
Jun 20, 2017 02:32Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, maafisa usalama wa Marekani wamewavunjia heshima wanadiplomasia wa nchi hiyo kwa kuwasimamisha na kupekua mabegi yao kwa nguvu katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy nchini Marekani.