-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Hakuna faida ya kufanya mazungumzo na Marekani
Oct 11, 2022 03:53Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amesema hakuna tija itakayopatikana kwa kufanya mazungumzo yoyote yale na Marekani na akabainisha kuwa kwa upande mmoja Washington inazungumzia kufanya mazungumzo na kuanzisha uhusiano; na kwa upande mwingine inatoa vitisho vya operesheni za kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Pyongyang yavurumisha tena makombora ya balestiki kujibu chokochoko za US
Oct 06, 2022 03:34Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini imefyatua makombora yake ya balestiki kuelekea upande wa Japan, kujibu chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan
Oct 04, 2022 04:21Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.
-
Korea Kaskazini yajiwekea rekodi ya kufyatua makombora ya balestiki mara tatu ndani ya wiki moja
Sep 30, 2022 03:52Korea Kaskazini imefyatua kombora la balestiki kwa mara ya tatu ndani ya wiki moja mara baada ya kumalizika ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Korea Kusini.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 04:50Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini, dola lenye nguvu za nyuklia
Sep 11, 2022 21:47Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ametia saini sheria ambayo kwa mujibu wake nchi hiyo sasa inatambuliwa rasmi kuwa ni dola lenye nguvu za kijeshi za nyuklia.
-
Korea Kaskazini: Hatutasalimisha silaha zetu za nyuklia
Sep 09, 2022 21:50Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kamwe Pyongyang haitasalimisha silaha zake za nyuklia au kutumia suala la kuharibu silaha hizo za maangamizi kujadiliana na Marekani.
-
Korea Kusini ina hofu juu ya jaribio la 7 la nyukia linalokaribia kufanywa na Korea Kaskazini
Jul 26, 2022 06:49Korea Kusini imesema, si baidi kwa Korea Kaskazini kufanya jaribio la saba la nyuklia hapo kesho.
-
Ukraine yavunja uhusiano na Korea Kaskazini kwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga na nchi hiyo
Jul 14, 2022 02:56Ukraine imevunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Korea Kaskazini baada ya Pyongyang kuyatambua maeneo mawili ya mashariki ya Ukraine ya Donetsk na Luhansk yaliyojitenga na Kyiv na kujitangaza Jamhuri huru zinazojitawala.
-
Korea Kaskazini yafyatua makombora 8 sambamba na kumalizika mazoezi ya kijeshi ya US na Korea Kusini
Jun 05, 2022 03:35Korea Kaskazini imeyafanyia majaribio makombora manane ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini katika upande wa pwani yake ya mashariki, siku moja tu baada ya jirani yake Korea Kusini na Marekani kukamilisha mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Ufilipino.