-
UN yaipongeza Kenya kwa kubadili adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela
Oct 30, 2016 07:19Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Kenya ya kubadilisha adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela kwa maelfu ya watu waliokuwa wakisubiri kutekelezwa hukumu hiyo dhidi yao.
-
Afisa wa zamani wa polisi CAR atuhumiwa kunyonga raia
Jun 28, 2016 04:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limemtuhumu afisa wa zamani wa polisi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kuwa amewanyonga raia kinyume cha sheria.
-
Nchi kadhaa za Ulaya zapinga vitendo vya kunyongwa wapinzani Saudia
Jun 27, 2016 04:30Wawakilishi wa nchi za Ufaransa na Ireland katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wamesema kuwa idadi ya watu walionyongwa nchini Saudi Arabia katika mwaka uliopita wa 2015 ni maafa makubwa.
-
Bahrain yasisitiza kuwanyonga wanaharakati 3 wa Kishia
Jun 01, 2016 07:02Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imekataa kutengua hukumu ya kunyongwa wanaharakati watatu wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Amnesty: Huenda Saudia ikamnyonga mpwa wa Sheikh Nimr kesho!
Mar 12, 2016 15:25Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeelezea hofu yake kuwa yumkini utawala wa Saudi Arabia hapo kesho ukamnyonga Ali Nimr, mpwa wa Shahidi Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanachuoni mkuu na maarufu wa Kiislamu aliyenyongwa na watawala wa Aal-Saud mapema mwaka huu.