-
Viongozi wa Korea mbili watia saini makubaliano ya kutomiliki silaha za nyuklia
Apr 27, 2018 13:44Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wametia saini makubaliano ya kuliepusha kikamilifu na silaha za nyuklia eneo la Korea.
-
Iran yazilaumu vikali nchi zinazomiliki silaha za nyuklia
Mar 01, 2018 15:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezilaumu vikali nchi zinazomiliki silaha za nyuklia kwa kutoheshimu ahadi zao kwa mujibu wa kifungu cha 6 cha Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji, Uenezaji na Utumiaji wa Silaha za Nyuklia na kusema kuwa nchi hizo ndizo zinazokwamisha ufanikishaji wa vipengee vya mkabata huo.
-
China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia
Feb 06, 2018 02:45Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema nchi yake inapinga stratijia ya mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia iliyotangazwa Ijumaa
-
UN yapitisha azimio lililopendekezwa na Iran la kutokomeza silaha za nyuklia
Oct 29, 2017 03:44Azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa kuhusiana na kutokomezwa silaha za nyuklia limepitishwa katika Kamati ya Utokomezaji Silaha ya Baraza Kuu la umoja huo kwa kura 112 za 'ndiyo' licha ya upinzani wa Marekani na waitifaki wake.
-
Iran yaunga mkono kikamilifu mkataba wa UN wa kupiga marufuku uundwaji silaha za nyuklia
Jul 08, 2017 03:46Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema Iran ambayo ni muathirika wa silaha za maangamizi ya umati, inaunga mkono kikamilifu mkataba mpya wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupigwa marufuku silaha za nyuklia.
-
Upokonyaji silaha za nyuklia, takwa la kimataifa
Apr 14, 2016 14:21Kupokonywa silaha za nyuklia Marekani na nchi nyingine zinazomiliki sialha hizo ni takwa na hitajio kuu la fikra za waliowengi ulimwenguni.
-
Iran yakosoa nchi zenye silaha za nyuklia kwa kukiuka mpatano
Apr 06, 2016 07:40Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake kuhusu mchakato wa kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
-
Iran: Israel ni hatari kwa amani na usalama wa dunia
Mar 10, 2016 07:50Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema vichwa vya silaha za nyuklia vinavyomilikiwa na utawala haramu wa Israel ni tishio kuu kwa amani na usalama wa dunia.