Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • SADC yaafiki mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji

    SADC yaafiki mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji

    Jun 24, 2021 07:24

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC zimeafikiana juu ya mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji kuisaidia Maputo kupambana na magenge ya magaidi na waasi huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Kushadidi harakati za ugaidi eneo la Afrika Magharibi

    Kushadidi harakati za ugaidi eneo la Afrika Magharibi

    Jun 08, 2021 15:53

    Katika wiki za hivi karibuni kumeshuhudiwa kushadidi Harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa Nigeria na nchi jirani. Katika hatua ya hivi kairbuni kabisa magaidi walishambulia kijiji kaskazini mwa Burkina Faso na kuua raia zaidi ya 160 huku wakitetekteza nyumba na masoko. Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani hujuma hiyo ambayo imepelekea idadi kubwa ya raia kuuawa kwa umati.

  • Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad

    Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad

    Feb 17, 2021 02:24

    Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.

  • Kadhaa wauawa katika makabiliano baina ya Jeshi la Algeria na genge la kigaidi

    Kadhaa wauawa katika makabiliano baina ya Jeshi la Algeria na genge la kigaidi

    Jan 04, 2021 15:39

    Wanamgambo wawili na mwanajeshi mmoja wameuawa katika makabiliano baina ya maafisa usalama na genge moja la kigaidi huko kaskazini magharibi mwa Algeria.

  • Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi

    Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi

    Jan 02, 2021 07:26

    Leo Jumamosi, tarehe pili Januari 2021 inayosadifiana na tarehe 13 Dei 1399 mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, inasadifiana na mwaka mmoja tangu alipouawa shahidi na kidhulma, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.

  • UN: Magaidi na wenye chuki wanatumia janga la corona kuendeleza ajenda zao

    UN: Magaidi na wenye chuki wanatumia janga la corona kuendeleza ajenda zao

    Jul 07, 2020 07:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema magenge ya kigaidi na makundi ya kibaguzi na yenye misimamo mikali yanatumia janga la kimataifa la corona kuendeleza ajenda zao hususan kupanda mbegu za chuki na uhasama katika jamii.

  • Magaidi 21 waliopanga kuvuruga sherehe za Iddi wauawa Sinai, Misri

    Magaidi 21 waliopanga kuvuruga sherehe za Iddi wauawa Sinai, Misri

    May 24, 2020 09:45

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 21 wa genge moja la kigaidi katika operesheni mbili tofauti zilizofanyika katika Peninsula ya Sinai.

  • Washukiwa 44 wa Boko Haram wapatikana wameaga dunia gerezani Chad

    Washukiwa 44 wa Boko Haram wapatikana wameaga dunia gerezani Chad

    Apr 19, 2020 03:39

    Makumi ya washukiwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameaga dunia katika mazingira ya kutatanisha gerezani nchini Chad.

  • Askari polisi na magaidi 7 wauawa kwenye makabiliano Misri

    Askari polisi na magaidi 7 wauawa kwenye makabiliano Misri

    Apr 15, 2020 08:06

    Afisa wa polisi wa Misri na washukiwa saba wa genge la kigaidi wameuawa katika makabiliano ya risasi baina ya pande mbili hizo jijini Cairo.

  • Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri

    Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri

    Feb 12, 2020 07:32

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 17 wa genge moja la kigaidi katika mji wa al-Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS