Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri

    Magaidi 17 waangamizwa katika mkoa wa Sinai, Misri

    Feb 12, 2020 07:32

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa wanachama 17 wa genge moja la kigaidi katika mji wa al-Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • London: Kuna washukiwa wa ugaidi 3000 nchini Uingereza

    London: Kuna washukiwa wa ugaidi 3000 nchini Uingereza

    Feb 07, 2020 01:09

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kupambana na Ugaidi nchini Uingereza amesema kuwa uwepo wa washukiwa 3000 wa hujuma za kigaidi nchini humo, unatia wasi wasi mkubwa.

  • Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Dec 29, 2019 02:52

    Makundi ya kigaidi ya Boko Haramu na Daesh yamezidisha harakati zao katika eneo la magharibi mwa Afrika.

  • Al Muallem na Pedersen wasisitiza kupiga hatua mazungumzo ya kamati ya katiba ya Syria

    Al Muallem na Pedersen wasisitiza kupiga hatua mazungumzo ya kamati ya katiba ya Syria

    Sep 24, 2019 02:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria wamechukunguza masuala yaliyosalia kuhusu uundaji wa kamati ya katiba, utaratibu na hatua zinazopaswa kuchukuliwa katika uwanja huo.

  • Juhudi za Afrika kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Juhudi za Afrika kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Sep 16, 2019 02:35

    Kufuatia kuongezeka mashambulizi ya ugaidi katika nchi za Kiafrika, hususan eneo la Sahel, viongozi wa eneo la magharibi mwa bara hilo, wametenga kiasi cha Dola bilioni moja kwa ajili ya kukabiliana na tishio linaloongezeka la harakati za makundi yenye kufurutu ada katika eneo.

  • Nchi za magharibi mwa Afrika kuchangishana fedha za kupambana na ugaidi

    Nchi za magharibi mwa Afrika kuchangishana fedha za kupambana na ugaidi

    Sep 15, 2019 12:17

    Nchi za Magharibi mwa Afrika zimefikia uamuzi wa kuchingashana fedha na kuwa na mfuko maalumu wenye akiba ya dola bilioni moja kwa ajili ya kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Kadhaa wauawa katika makabaliano baina ya askari wa Misri na magaidi, Sinai

    Kadhaa wauawa katika makabaliano baina ya askari wa Misri na magaidi, Sinai

    Sep 15, 2019 07:16

    Vyombo vya usalama vya Misri vimetangaza habari ya kuuawa watu kadhaa katika makabiliano baina ya wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo na wanamgambo huko kaskazini mwa mkoa wa Sinai.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani ni kinara wa tawala za kigaidi duniani

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani ni kinara wa tawala za kigaidi duniani

    Aug 30, 2019 11:59

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, Marekani ni kinara wa tawala za kigaidi kote duniani na kwamba, baada ya maafisa wa serikali ya Washington kukiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyoanzisha makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati, ni aibu kubwa kwa Marekani kudai kuwa inapambana na ugaidi.

  • AU: Vijana wahusishwe ipasavyo katika vita dhidi ya ugaidi

    AU: Vijana wahusishwe ipasavyo katika vita dhidi ya ugaidi

    Jul 12, 2019 02:27

    Mjumbe wa Umoja wa Afrika ametoa mwito wa kushirikishwa vijana barabara katika mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Makumi ya magaidi wauawa na jeshi la Misri Peninsula ya Sinai

    Makumi ya magaidi wauawa na jeshi la Misri Peninsula ya Sinai

    May 17, 2019 02:32

    Jeshi la Misri limeangamiza magaidi 47 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS