-
Sayyid Hassan Nasrullah: Daesh (ISIS) ni zao la Saudia na fikra ya Uwahabi
Apr 22, 2019 17:25Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni zao la Saudi Arabia na fikra za Uwahabi na amesisitiza kwamba makundi mengi ya kigaidi yanapata mikopo ya fedha kutoka taasisi mbalimbali za kidini nchini Saudia na kutumia fikra hizo hizo za Uwahabi kufanya mauaji na jinai dhidi ya mataifa ya Waislamu.
-
Rais wa Syria akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi
Mar 20, 2019 07:43Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa vikali sera ya undumakuwili ya baadhi ya nchi katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Magaidi 16 wauawa Sinai Kaskazini nchini Misri
Feb 19, 2019 15:42Jeshi la Misri limewauwa magaidi 16 katika oparesheni ya ulipizaji kisasi iliyoifanya katika mji wa Arisha katika eneo la Sinai Kaskazini.
-
Viongozi wa Kiislamu nchini Mali wamtaka Waziri Mkuu ajiuzulu
Feb 11, 2019 08:00Viongozi na shakhsia wa Kiislamu nchini Mali wamemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Soumeylou Boubeye Maiga ajiuzulu wadhifa wake, wakisisitiza kuwa serikali yake imeshindwa kukabiliana na jinamizi la ugaidi, Uwahhabi na misimamo ya kufurutu ada.
-
Magaidi sita waangamizwa na maafisa usalama kusini mwa Misri
Jan 13, 2019 07:50Wanachama sita wa genge moja la kigaidi wameuawa katika operesheni ya maafisa usalama huko kusini mwa Misri.
-
Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi
Jan 09, 2019 17:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uamuzi usio na mantiki na wa kushangaza uliochukuliwa na Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo raia kadhaa wa Iran kwa kutegemea tuhuma zisizo na msingi wowote.
-
Juhudi za kupambana na ugaidi barani Afrika
Nov 29, 2018 11:21Kufuatia kushamiri na kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali duniani hasa Afrika, nchi washiriki wa mkutano wa pili wa kimataifa wa kupambana na ugaidi uliofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers zimesisitizia ulazima wa nchi za magharibi mwa Afrika kushirikiana pamoja katika kupambana na janga hilo.
-
Rais Rouhani: Iran ndiye mpinzani mkuu wa silaha za mauaji ya umati na ugaidi + Video
Nov 21, 2018 16:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ndiyo inayoweza kudai kuwa ni mpinzani mkuu wa ugaidi na silaha za kemikali hasa kutokana na kwamba, taifa la Iran ndiye muhanga mkuu zaidi wa ugaidi na mashambulizi ya silaha hizo hatari.
-
Kuangamizwa ugaidi ndicho kipaumbele kikuu cha serikali mpya ya Iraq
Oct 29, 2018 04:36Jumamosi iliyopita Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Adil Abdul-Mahdi alikutana na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa kijeshi na kiusalama nchini humo ambapo alisisitizia ulazima wa kuendelezwa mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi hadi kukatwa kibisa mizizi yake.
-
Mchango muhimu wa Hizbullah katika ushindi wa Lebanon dhidi ya ugaidi
Sep 25, 2018 13:58Rais Michel Aoun wa Lebanon ametetea uwepo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon huko nchini Syria na kusema kuwa, uwepo huo ni kwa ajili ya kuihami nchi yake na hujuma za magaidi.