-
Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza
Sep 07, 2021 06:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amezitaka Marekani na Uingereza kutoa mchango chanya na kutoegemea upande wowote katika juhud za kurejesha amani huko Yemen.
-
Magaidi wajisalimisha kwa jeshi la Syria katika eneo la Dar'a
Sep 01, 2021 22:29Duru za habari zimetangaza kuwa, kundi la watu wenye silaha la eneo la Dar'a wa kusini mwa Syria limejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo na Kiarabu na kukabidhi silaha zao.
-
Jumatano tarehe 18 Agosti 2021
Aug 17, 2021 22:09Leo ni tarehe 9 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 18 mwaka 2021
-
Ijumaa tarehe 6 Agosti mwaka 2021
Aug 05, 2021 21:55Leo ni Ijumaa tarehe 26 Dhulhija 1442 Hijria inayosadifiana na Agosti 6 mwaka 2021.
-
Hatimaye vita vyasitishwa Gaza baada ya Israel kukubali mpango wa kusitisha vita
May 20, 2021 23:24Baada ya siku 11 za hujuma na mashambulio ya kijeshi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel hatimaye utawala huo umeafiki mpango wa kusitisha vita.
-
Jumapili, 28 Februari 2021
Feb 27, 2021 23:53Leo ni Jumapili 16 Rajab 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 28 Februari 2021 Miladia.
-
Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita
Oct 24, 2020 02:46Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.
-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatangaza kusitisha vita
Aug 22, 2020 19:31Wakati pande mbalimbali zikiendelea kulumbana juu ya namna ya kugawana keki ya Libya na kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo, Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa yenye makao yake mjini Tripoli imetoa amri ya kusitishwa vita mara moja na kusimamishwa operesheni zote za kijeshi.
-
Jumatatu tarehe 17 Agosti mwaka 2020
Aug 16, 2020 21:58Leo ni Jumatatu tarehe 27 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020.
-
Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakataa usitishaji vita wa Khalifa Haftar
May 01, 2020 03:38Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imekataa usitishaji vita wa upande mmoja wa jenerali muasi Khalifa Haftar anayewaongoza wanamgambo wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya.