-
Amiri wa Kuwait afariki akiwa na miaka 86; kakake wa kambo amrithi
Dec 16, 2023 13:26Amiri wa Kuwait Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 86.
-
Kuwait yaungana na mataifa mengine kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani huko Sweden
Oct 02, 2023 07:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Kuwait imelaani vikali kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur'ani huko nchini Sweden.
-
Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina
Sep 22, 2023 11:33Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kuwait yakaribisha hatua ya Denmark dhidi ya wanayoivunjia heshima Qur'ani
Aug 27, 2023 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amekaribisha uamuzi uliochukuliwa na Denmark kuhusu vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani tukufu.
-
Iran iimethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake
Aug 12, 2023 12:55Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Jumuiya ya Urafiki baina ya Iran na Kuwait kwamba, Tehran imethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake kwenye migogoro na hali ngumu zinazotokea.
-
Leo katika Historia, Jumatano 19 Julai
Jul 19, 2023 02:38Jumatano tarehe Mosi Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Julai mwaka 2023.
-
Abdollahian: Kuimarisha uhusiano na majirani, kipaumbele cha Iran
Jun 22, 2023 07:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalipa uzito suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa jirani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Jumatatu, tarehe 19 Juni, 2023
Jun 19, 2023 09:24Leo ni Jumatatu tarehe 30 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe 19 Juni 2023.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua za pamoja kuulinda msikiti wa al-Aqswa
Jan 06, 2023 07:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuweko uratibu na kuchukuliwa hatua za pamoja na mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kuilinda hali ya kihistoria na kisheria ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 04, 2022 07:52Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.