- 
        
            
            Lavrov: Marekani inapasa kuondoka huko Syria
Dec 29, 2017 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana alisisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wanapasa kuondoka huko Syria haraka iwezekanavyo baada ya kupata pigo magaidi nchini humo.
 - 
        
            
            Saudia yalegeza kamba, haitaki eneo lolote la Syria lijitenge
Sep 10, 2017 14:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia amesema kuwa, nchi yake na Russia zinaunga mkono umoja wa ardhi ya Syria na zinapinga jaribio lolote la kuigawa nchi hiyo.
 - 
        
            
            Lavrov: Muelekeo wa Marekani wa kupambana na ugaidi ni wa kindumakuwili
Aug 13, 2017 08:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov, amesema muelekeo na mtazamo wa Marekani kuhusiana na ugaidi ni wa kindumakuwili na kubainisha kuwa muungano unaoitwa wa kimataifa wa kupambana na Daesh (ISIS) chini ya uongozi wa Marekani sio tu haupambani na kundi la kigaidi la Jabhatu-Nusrah bali unafanya jitihada pia za kulilinda kundi hilo.
 - 
        
            
            Lavrov akosoa harakati za Marekani dhidi ya Russia
Jun 23, 2017 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa hatua ya Marekani ya kuiwekea nchi yake vikwazo vipya.
 - 
        
            
            Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri
May 18, 2017 04:27Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.
 - 
        
            
            Wamarekani wamkosoa Rais Trump kwa mapokezi aliyompa Lavrov Ikulu ya White House
May 12, 2017 16:15Serikali ya Marekani imekumbwa na changamoto mpya kufuatia kuenea picha za Rais Donald Trump wa nchi hiyo akimkaribisha kwa hadhi Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov katika ikulu ya White House.
 - 
        
            
            Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun
Apr 22, 2017 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kusikitishwa na upinzani wa Marekani dhidi ya pendekezo lililotolewa na Moscow na Tehran kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun nchini Syria.
 - 
        
            
            Lavrov: Marekani imevuruga mchakato wa kisiasa wa Syria
Apr 17, 2017 13:51Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria yamekwamisha kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia za kidiplomasia.
 - 
        
            
            Russia: Kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa inapasa iwe ndio ajenda ya mazungumzo ya Syria
Mar 02, 2017 14:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuhusu ulazima wa pande zinazopigana nchini Syria kujikita kwenye kutafuta mwafaka wa namna ya kuendesha nchi katika kipindi cha mpito katika mazungumzo yao yanayoendelea hivi sasa mjini Geneva.
 - 
        
            
            Matamshi ya Lavrov na EU kufuatia mauaji ya balozi wa Russia mjini Ankara
Dec 20, 2016 14:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, balozi wa nchi hiyo huko Uturuki ameuawa ili kuvuruga mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria.