-
Alkhamisi, Aprili 10, 2025
Apr 10, 2025 02:47Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2025 Milaadia.
-
Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon
Apr 02, 2025 07:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Dhahiya katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia
Mar 24, 2025 08:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama na amani ya kimataifa.
-
Amnesty yataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel nchini Lebanon
Mar 06, 2025 02:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya vituo vya matibabu, magari ya dharura na wafanyakazi wa afya nchini Lebanon, na kutaja hujuma hizo kama uhalifu wa kivita.
-
Spika wa Bunge la Iran: Trump anataka kuwahamisha watu wa Gaza na kupora ardhi ya Palestina
Feb 24, 2025 07:14Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza na kupora ardhi ya Palestina na kubainisha kwamba, mpango huo katu haukubaliki.
-
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi awasalia Mashahidi wa Hizbullah, bahari ya umati wa watu yaifunika Beirut
Feb 23, 2025 14:58Sheikh Muhammad Yazbek, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongoza Sala ya Maiti ya kusalia miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin katika mazishi ya kihistoria yaliyofanyika leo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Israel inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Lebanon
Feb 16, 2025 14:00Utawala wa Kizayuni wa Israel umeshambulia kusini mwa Lebanon na kudai kuwa umemuua mmoja wa makamanda wa kikosi cha anga cha Hizbullah.
-
Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria
Feb 15, 2025 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutishia kushambulia ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa imebeba raia wa Lebanon.
-
Bunge la Libya lalaani njama za Wazayuni za kuwahamisha watu wa Ghaza
Feb 09, 2025 10:37Bunge la Libya limelaani na kupinga njama za Marekani na Israel za kutaka kuwahamisha wananchi wa Ghaza na kuwapeleka sehemu nyingine nje ya ardhi zao za jadi za Palestina.
-
Lebanon yaunda serikali ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili
Feb 09, 2025 07:09Lebanon imeunda serikali yake ya kwanza kamili tangu mwaka 2022, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajitahidi kujenga upya eneo lake la kusini lililoharibiwa na vita; na kuhakikisha usalama unarejea baada ya mapigano kati ya Israel na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.