-
Naeem Qassem: Muqawama ni nembo ya nguvu ya Lebanon, unapaswa kulindwa
Nov 01, 2025 03:53Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inadai kwamba inataka kutatua matatizo ya Lebanon lakini nchi hiyo sio mpatanishi mwadilifu asiyependelea upande wowote na ni mshirika katika uhalifu na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani vikali shambulio la Israel kusini mwa Lebanon lililoua watu na kusababisha hasara kubwa
Oct 12, 2025 02:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulio ya kijeshi yanayofanywa kila mara na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon na kuendelea kukiuka mamlaka ya utawala na umoja wa ardhi ya nchi hiyo hususan shambulio la jana Jumamosi la ndege zisizo na rubani lililolenga kijiji cha Al-Musayleh.
-
Kumbukumbu ya miaka 43 ya mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na Israel na kuitikisa dunia
Sep 16, 2025 08:36Mauaji ya Sabra na Shatila ni mfano mmoja tu wa jinai za kutisha zilizofanywa na utawala wa Israel huko Lebanon na kuitikisa dunia mwaka 1982, ambapo mauaji hayo leo yametimiza miaka 43.
-
UN: Israel imewadondoshea maguruneti askari wetu wa kulinda amani Lebanon
Sep 03, 2025 03:17Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Lebanon (UNIFIL) kimesema kuwa ndege zisizo na rubani za Israel zilidondosha maguruneti manne karibu na kambi ya walinda amani waliokuwa wakifanya kazi ya kuondoa vizuizi vya barabarani Jumanne asubuhi.
-
Alkhamisi, 07 Agosti, 2025
Aug 06, 2025 23:00Leo ni Alkhamisi 13 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka na 7 Agosti 2025.
-
Israel yaua watu 12 Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji vita
Jul 15, 2025 14:12Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limewaua shahidi watu wasiopungua 12 katika mashambulizi ya kinyama ya anga mashariki mwa Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji mapigano ambao ulianza kutekelezwa Novemba mwaka jana
-
Lebanon: Hatuna azma ya kuufanya wa kawaida uhusiano wetu na Israel
Jul 11, 2025 12:56Rais Joseph Aoun wa Lebanon amesema nchi hiyo haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kwa sasa.
-
Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah
Jun 09, 2025 07:42Jeshi la Lebanon linasema kuwa limekamilisha oparesheni zake za ukaguzi wa silaha na zana za kijeshi katika kitongoji cha Dahiyeh, kusini mwa Beirut, ngome ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, bila kupata chochote cha kutia shaka.
-
Jumamosi, 24 Mei, 2025
May 23, 2025 23:01Leo ni Jumamosi 26 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1446 Hijria, mwafaka na 24 Mei 2025 Miladia.
-
Alkhamisi, Aprili 10, 2025
Apr 09, 2025 23:17Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2025 Milaadia.