Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Kumbukumbu ya miaka 43 ya mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na Israel na kuitikisa dunia

    Kumbukumbu ya miaka 43 ya mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na Israel na kuitikisa dunia

    Sep 16, 2025 08:36

    Mauaji ya Sabra na Shatila ni mfano mmoja tu wa jinai za kutisha zilizofanywa na utawala wa Israel huko Lebanon na kuitikisa dunia mwaka 1982, ambapo mauaji hayo leo yametimiza miaka 43.  

  • UN: Israel imewadondoshea maguruneti askari wetu wa kulinda amani Lebanon

    UN: Israel imewadondoshea maguruneti askari wetu wa kulinda amani Lebanon

    Sep 03, 2025 03:17

    Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Lebanon (UNIFIL) kimesema kuwa ndege zisizo na rubani za Israel zilidondosha maguruneti manne karibu na kambi ya walinda amani waliokuwa wakifanya kazi ya kuondoa vizuizi vya barabarani Jumanne asubuhi.

  • Alkhamisi, 07 Agosti, 2025

    Alkhamisi, 07 Agosti, 2025

    Aug 06, 2025 23:00

    Leo ni Alkhamisi 13 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka na 7 Agosti 2025.

  • Israel yaua watu 12 Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji vita

    Israel yaua watu 12 Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji vita

    Jul 15, 2025 14:12

    Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limewaua shahidi watu wasiopungua 12 katika mashambulizi ya kinyama ya anga mashariki mwa Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji mapigano ambao ulianza kutekelezwa Novemba mwaka jana

  • Lebanon: Hatuna azma ya kuufanya wa kawaida uhusiano wetu na Israel

    Lebanon: Hatuna azma ya kuufanya wa kawaida uhusiano wetu na Israel

    Jul 11, 2025 12:56

    Rais Joseph Aoun wa Lebanon amesema nchi hiyo haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kwa sasa.

  • Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah

    Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah

    Jun 09, 2025 07:42

    Jeshi la Lebanon linasema kuwa limekamilisha oparesheni zake za ukaguzi wa silaha na zana za kijeshi katika kitongoji cha Dahiyeh, kusini mwa Beirut, ngome ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, bila kupata chochote cha kutia shaka.

  • Jumamosi, 24 Mei, 2025

    Jumamosi, 24 Mei, 2025

    May 23, 2025 23:01

    Leo ni Jumamosi 26 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1446 Hijria, mwafaka na 24 Mei 2025 Miladia.

  • Alkhamisi, Aprili 10, 2025

    Alkhamisi, Aprili 10, 2025

    Apr 09, 2025 23:17

    Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2025 Milaadia.

  • Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Apr 02, 2025 03:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Dhahiya katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.

  • Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia

    Iran yatahadharisha kuhusu athari za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama wa dunia

    Mar 24, 2025 05:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kwa usalama na amani ya kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS