-
Amnesty yataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel nchini Lebanon
Mar 05, 2025 22:56Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya vituo vya matibabu, magari ya dharura na wafanyakazi wa afya nchini Lebanon, na kutaja hujuma hizo kama uhalifu wa kivita.
-
Spika wa Bunge la Iran: Trump anataka kuwahamisha watu wa Gaza na kupora ardhi ya Palestina
Feb 24, 2025 03:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza na kupora ardhi ya Palestina na kubainisha kwamba, mpango huo katu haukubaliki.
-
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi awasalia Mashahidi wa Hizbullah, bahari ya umati wa watu yaifunika Beirut
Feb 23, 2025 11:28Sheikh Muhammad Yazbek, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongoza Sala ya Maiti ya kusalia miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin katika mazishi ya kihistoria yaliyofanyika leo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Israel inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Lebanon
Feb 16, 2025 10:30Utawala wa Kizayuni wa Israel umeshambulia kusini mwa Lebanon na kudai kuwa umemuua mmoja wa makamanda wa kikosi cha anga cha Hizbullah.
-
Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria
Feb 15, 2025 03:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutishia kushambulia ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa imebeba raia wa Lebanon.
-
Bunge la Libya lalaani njama za Wazayuni za kuwahamisha watu wa Ghaza
Feb 09, 2025 07:07Bunge la Libya limelaani na kupinga njama za Marekani na Israel za kutaka kuwahamisha wananchi wa Ghaza na kuwapeleka sehemu nyingine nje ya ardhi zao za jadi za Palestina.
-
Lebanon yaunda serikali ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili
Feb 09, 2025 03:39Lebanon imeunda serikali yake ya kwanza kamili tangu mwaka 2022, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajitahidi kujenga upya eneo lake la kusini lililoharibiwa na vita; na kuhakikisha usalama unarejea baada ya mapigano kati ya Israel na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.
-
Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon
Feb 08, 2025 04:33Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.
-
Israel yashambulia Lebanon, yakiuka makubaliano ya usitishaji vita
Feb 07, 2025 04:22Jeshi la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya kusini na mashariki mwa Lebanon, huo ukiwa ni ukiukaji mkubwa na wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati yake na nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kiongozi Muadhamu amteua Naim Qassem kuwa mwakilishi wake Lebanon
Feb 05, 2025 08:59Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, katika dikrii, amemuarifisha Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawamaya ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem kama mwakilishi wake nchini Lebanon.