Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Jan 28, 2025 04:33

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.

  • Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Jan 27, 2025 09:51

    Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • UNIFIL yasisitiza kuondoka Lebanon wanajeshi wa Israel

    UNIFIL yasisitiza kuondoka Lebanon wanajeshi wa Israel

    Jan 27, 2025 03:38

    Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kimetaka kuondoka kikamilifu wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko kusini mwa Lebanon.

  • "Hatutajadili mamlaka ya Lebanon", asema Rais Aoun baada ya Israel kuua Walebanon 15

    Jan 26, 2025 22:55

    Rais wa Lebanon, Joseph Aoun amesema "mamalaka ya kujitawala Lebanon na ardhi yake ni jambo lisiloweza kujadiliwa". Amesema hayo baada ya vikosi vya Israel kuwafyatulia risasi na kuwaua Walebanon waliokuwa wamekimbia makazi yao kusini mwa Lebanon na waliokuwa wakirejea katika miji yao, huku muhula wa mwisho wa kuondoka askari hao makatili ukimalizikka.

  • Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Jan 25, 2025 08:05

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai ya Israel kamba Jamhuri ya Kiislamu inasafirisha kimagendo silaha kwenda Lebanon.

  • Israel haitaondoa askari wake kusini mwa Lebanon kama ilivyoafikiwa, Marekani yaiunga mkono

    Israel haitaondoa askari wake kusini mwa Lebanon kama ilivyoafikiwa, Marekani yaiunga mkono

    Jan 25, 2025 02:44

    Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel halitaondoka kusini mwa Lebanon utakapomalizika muhula uliowekwa wa siku 60 kesho Jumapili kulingana na makubaliano ya kusitisha vita yaliyofikiwa kati ya Israel na harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.

  • Gazeti la Kiebrania la Haaretz: Israel imeidhinisha mpango wa kuondoa askari wake Ukanda wa Ghaza

    Gazeti la Kiebrania la Haaretz: Israel imeidhinisha mpango wa kuondoa askari wake Ukanda wa Ghaza

    Jan 12, 2025 23:56

    Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha mipango ya kuwaondoa wanajeshi katika Ukanda wa Ghaza, baada ya hatua zilizopigwa katika mazungumzo ya kubadilishana mateka na harakati ya Hamas.

  • Pezeshkian ampongeza Rais mpya wa Lebanon; asisitiza umoja na kuimarisha utulivu

    Pezeshkian ampongeza Rais mpya wa Lebanon; asisitiza umoja na kuimarisha utulivu

    Jan 10, 2025 23:28

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe Rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa umoja na kuimarisha utulivu vitazima njama za kujitanua na tamaa za adui Mzayuni dhidi ya Lebanon.

  • Iran yapongeza kuchaguliwa rais mpya nchini Lebanon, yasisitiza kustawishwa uhusiano

    Iran yapongeza kuchaguliwa rais mpya nchini Lebanon, yasisitiza kustawishwa uhusiano

    Jan 10, 2025 07:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais mpya wa Lebanon, Serikali na wananchi wake pamoja na mirengo na vyama vyote husika katika uga wa kisiasa wa nchi hiyo kwa kuchaguliwa rais mpya.

  • Waziri Mkuu wa Lebanon: Lazima Israel iondoke kikamilifu kusini mwa Lebanon kabla ya Januari 26

    Waziri Mkuu wa Lebanon: Lazima Israel iondoke kikamilifu kusini mwa Lebanon kabla ya Januari 26

    Jan 08, 2025 00:00

    Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Miqati amesema Beirut imefikisha "salamu za wazi kabisa" kwa waangalizi wa kimataifa wa makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel kwamba utawala huo wa Kizayuni lazima uondoe kikamilifu vikosi vyake kusini mwa Lebanon kabla ya mwisho wa Januari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS