-
HAMAS: Jeshi la Israel linaendelea kufanya jinai kwenye hospitali za Gaza
Jan 31, 2024 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika hospitali na vituo vya matibabu huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi
Jan 29, 2024 23:14Duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kila namna za kutaka vita vienee kwenye eneo zima la Asia Magharibi.
-
Hizbullah yazima uvamizi wa kijeshi wa Israel kusini ya Lebanon
Jan 22, 2024 03:59Wanajihadi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wametibua uvamizi wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu, huku ngome za utawala huo ghasibu zikiendelea kulengwa kwa makombora ya kundi hilo la muqawama, likiwa ni jibu kwa mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo
Jan 15, 2024 10:44Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon huko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) yamekwua na ufanisi na kulenga shabaha.
-
Jumatano, Novemba 22, 2023
Nov 21, 2023 23:18Leo ni tarehe 8 Mfunguo Nane, Jamadil Awwal 1445 Hijria inayosadifiiana na 22 Novemba 2023 Milaadia.
-
Mapigano ya mpakani yaanza tena kati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 02, 2023 09:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la utawala huo ghasibu.
-
Israel yafyata mkia, yasema haitaki kuingia vitani na Hizbullah
Oct 25, 2023 04:06Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.
-
Safari ya kieneo ya Amir Abdollahian inayoangazia vita vya Gaza
Oct 13, 2023 08:07Huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza hujuma na vita vyake vya jinai dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza, Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasisitiza ulazima wa kukomeshwa jinai hizo za Wazayuni kwa kufanya safari katika nchi kadhaa za eneo.
-
Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu
Sep 21, 2023 23:11Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiothodoksi la Jabal na Tripoli la Lebanon amelaani vitendo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini na kusisitiza kuwa, kufanya vitendo hivyo ni jambo ovu.
-
Amir wa Qatar: Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21
Sep 20, 2023 07:58Amir wa Qatar amesema kuwa, Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21, na kusisitiza kuwa, wananchi wa Palestina hawapaswi kuwa watumwa wa dhulma na ukatili wa wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu.