-
Umoja wa Mataifa kupatanisha Libya baada ya serikali hasimu kuapishwa
Mar 05, 2022 10:41Umoja wa Mataifa umetangaza utayarifu wa kupatanisha mgogoro wa kisiasa nchini Libya baada ya kuibuka serikali mbili hasimu.
-
Mawaziri wawili wa serikali mpya ya Libya watekwa nyara
Mar 04, 2022 04:34Kundi la wanamgambo wenye silaha limewateka nyara mawaziri wawili wa serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Baraza jipya la mawaziri latangazwa mashariki mwa Libya
Mar 02, 2022 09:59Baraza jipya la mawaziri nchini Libya limeidhinishwa na Bunge lenye makao yake makuu mashariki mwa nchi hiyo, hatua ambayo inaweza kuzua wakati wowote mvutano mkubwa na serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu Abdulhamid Dbeibah huko Tripoli.
-
Juhudi za Waziri Mkuu wa Libya za kuondokana na mgogoro wa kisiasa
Feb 22, 2022 23:00Katika hali ambayo suala la kufanyika uchaguzi nchini Libya limekuwa jinamizi lililoitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kisiasa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ametoa pendekezo jipya kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa Bunge katikati ya mwaka huu sambamba na kufanyika kura ya maoni ya katiba ya nchi hiyo.
-
Makundi tofauti ya Libya yaanza mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa
Feb 14, 2022 07:25Waziri Mkuu wa Libya ametangaza habari ya kuanza mazungumzo kuhusu kuundwa Baraza la Mawaziri litakaloshirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
-
Mgogoro wa nchi kuwa na serikali mbili wakati mmoja waikumba tena Libya
Feb 13, 2022 00:44Libya imekumbwa tena na mzozo wa kuwa na serikali mbili kwa wakati mmoja baada ya bunge la nchi hiyo kumchagua aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Fat-hi Bashagha kuwa waziri mkuu mpya.
-
Masharti ya Waziri Mkuu wa Libya kwa ajili ya kukabidhi madaraka
Feb 09, 2022 04:33Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesisitiza kuwa baraza lake la mawaziri litaendelea kufanya kazi hadi wakati wa kukabidhiwa madaraka kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi.
-
Aliyekuwa mlinzi wa kiongozi wa zamani wa Libya adai, Gaddafi bado yuko hai!
Feb 06, 2022 01:13Afisa wa zamani katika jopo la walinzi wa kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, Aisha Al-Fitouri, amedai kuwa kiongozi huyo bado yuko hai na kwamba aliyeuawa ni mmoja wa jamaa zake.
-
Waziri wa Sheria wa Libya anusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha
Jan 29, 2022 04:46Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Waziri wa Sheria wa Libya amenusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililotokea kwenye barabara ya As-Sawani katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.
-
Mjumbe Maalumu wa UN Libya: Kipaumbele kikuu ni maridhiano ya kitaifa
Jan 16, 2022 23:08Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, kipaumbeke kikuu zaidi hivi sasa kuhusu Libya ni kuweko maridhiano ya kitaifa na kusisitiza kuwa wananchi wa Libya hawataki tena vita.